Search results

  1. Feisal2020

    "J.Cole Apologizing Was The Best Move he Did his Entire Career"

    Kaka unajibu heading, ungesoma content usingesema "Mimi nitakupinga mpaka kesho ndugu yangu, nitakupinga mpaka vidole viote sugu kwa kutype..." Mana hujanipinga bali umeniunga mkono
  2. Feisal2020

    "J.Cole Apologizing Was The Best Move he Did his Entire Career"

    Kuna uzi upo humu jukwaani tulikuwa tunabishana na majamaa kuhusu hizi diss tracks zinazotolewa na Kendrick Lamar na Drake. Hii bifu tunaoifaidi vizuri ni sisi tusio mashabiki wa Kendrick wala Drake. Mashabiki wa Kendrick watasifia tu Euphoria kuwa diss track kali lakini ukiwa serious huwezi...
  3. Feisal2020

    Tumalize Utata: Nani kapotezwa kwenye Beef la Drake na Kendrick Lamar hadi sasa?

    We unaona nani kapotezwa ndugu? Hapa watakuja mashabiki wa Kendrick Lamar watasema Drake ndo kapotezwa, watakuja mashabiki wa Drake watakwambia Drake ndo kapotezwa.
  4. Feisal2020

    Kendrick Lamar atuma diss kwa J Cole na Drake

    Kwamba ingekuaje yani?
  5. Feisal2020

    Kendrick Lamar atuma diss kwa J Cole na Drake

    Na wewe ni fan wa Kendrick ndomana umeona Euphoria ni diss track kali.
  6. Feisal2020

    Kendrick Lamar atuma diss kwa J Cole na Drake

    Jamaa hakukataa uwezo wa Kenny wala kusema kuwa Drake anaweza kushinda hii battle tu alikua anakataa kwamba Euphoria ni diss track kali, kitu ambacho ni kweli.
  7. Feisal2020

    Kendrick Lamar atuma diss kwa J Cole na Drake

    6:16 in LA & Meet The Grahams Kenny ameua.
  8. Feisal2020

    Hili Battle la Kendrick Lamar na Drake mnalionaje wakuu sio kwamba litaishia kubaya?

    Euphoria ilikua kawaida tu, ila hii 6:16 in LA Kungfu Kenny kaonesha ubora wake... Sioni Drake akimudu kuijibu hiyo. Wengi ambao tulikua tunaidiss Euphoria sio kwa sababu eti Tunahisi Drake ni mkali kuliko K. dot, ni kwa sababu tulijua jamaa amecheza chini ya kiwango na angeweza kufanya kitu...
  9. Feisal2020

    Kwanini tasnia ya ushereheshaji imehodhiwa na wachekeshaji?

    Watu wanatafuta mkate, na nyie msio wachekeshaji mnaweza kuamua kwa umoja wenu mkavamia hiyo tasnia ya ushereheshaji mkiwa na kitu mtapata kazi nyingi hao wachekeshaji watakosa soko
  10. Feisal2020

    Niliyoyaona leo nilipokwenda kusambaza barua za internship

    Nilishawahi kukata tamaa kama wewe na nikaelewa kuwa haya maisha ni vita. Wakati nasoma nilijua nikitoka hapo ni kuajiriwa tu nakula mema ya nchi, nmemaliza chuo niko kitaa miaka nenda rudi na huwezi kutegemea wazazi wakufanyie lolote mana hata kukusomesha walikusomesha kwa mikopo wakifikiri...
  11. Feisal2020

    Mwanaume usije thubutu kutembea na mke wa mtu

    Heading unatwambia kwenye harakati za uanaume tusile wake za watu, content unatuhadithia wewe usivotaka kumla huyo mke wa mtu... Ungetupa na sababu kwanini sisi tusile, au kula wewe halafu likukute la kukukuta uje utuhadithie wamekufanya nini na sisi ndo tuogope 😂😂
  12. Feisal2020

    Kendrick Lamar atuma diss kwa J Cole na Drake

    Hii beef inavoenda bhna, K.Dot alijipanikisha akaonesha hate yake kwa Cole na Drake. Kwenye First Person Shooter hakudisiwa tu alipewa shout out! Baada ya Cole kuachia 7 Minute Drill nilifurahi kuona angalau saivi kamjibu mtu japo sikua na uhakika kama anaweza kustand his ground mana jamaa ni...
  13. Feisal2020

    Nakaribia 29 sina mtoto

    We umerukia kwenye matokeo badala ya kutuambia tatizo. Ni kwamba hupigi show ndomana hupati mtoto au
  14. Feisal2020

    BMF: Black Mafia Family

    Mambo yakienda vizuri anaweza kuachiwa 2025
  15. Feisal2020

    BMF: Black Mafia Family

    Kwa nini?
  16. Feisal2020

    BMF: Black Mafia Family

    "The most important word in BMF is not Black, Nor mafia, it is FAMILY"- Meech
  17. Feisal2020

    Hatimaye B2K Mnyama amejipata!

    Sijawahi kumkubali ila kwenye hii ngoma ameua sana, Hata huyo mwingine alieshirikishwa nae kafunika
  18. Feisal2020

    Thread for lyrics only

    I know you were made for me, but darling don't you wait for me, coz I can see the promise land, but I can't make no promises Cole World
  19. Feisal2020

    Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

    Mpaka sasa Wewe 0 - 19 Jamaa.
Back
Top Bottom