Unaweza ukawa sawa kabisa ila wasiwasi wangu mimi siko mbali sana na utabiri wako ila kama tabora U angeanzia ugenini naamini angetoboa hao jamaa tangu championship msimu ule wanagombania kupanda game zao zilikuwa ngumu mno na zina mengi ndani yake.
"Mtu anaweza kujaribu kuwaamusha watu wake kwamba hiki kitu tunaonewa tubadilike tufanye hivi na hivi litaibuka lijamaa limoja ambalo Lina visa ya marekani au nchi yoyote ya ulaya Kwa kuwa anahudumiwa na watoto wake wako nje ya nchi anakutengenezea mazingira uonekane hufai na hunakiuka haki za...
Nadhani hata mimi sikatai mtu kusoma na kula bata ila tu kuna mengi mno vyuoni hivi hujawahi ona kuna watu wanafanyiwa assignments, wanapewa marks na ma lecturer na mengine mengi.
Mbona nchi za wenzetu humu humu afrika wanafanya starehe ila elimu zao wanaweka mikazo sisi ni kama hatuna u...
"Watu ni lazima watambue matatizo yao kwa njia ya uhalisia. Ni lazima wawe na uwezo wa kuchambua matatizo yao na kuyapatia ufumbuzi wa pamoja. Kwa maneno mengine jamii inagawanyika kirahisi pale mtazamo wao wa kitu kimoja ni tofauti" ~ Steven Biko
Brother hijab siyo sketi au gauni, hivi utaruka vikwazo na gauni? Au kupita juu kamba ?
Hao unaosema tunafahamu sana hadi unaona askari kuvaa hijab tayari basic military training walishatoka huko.
Tuondoe ubishani tuwe serious kabisa na fani.
Huyu jamaa bana kanishangaza mno, kingine namwambia ulimwengu wa kijani yeye anawaza vyama sijui kuna mafunzo ya awali ya jeshi hufanyikia mjini kashindwa kujiongeza naamanisha pori hiyo.
Ulimwengu wa kijani ni MSITUNI ni mwendo wa kushinda na ndege tu mkubwa achana na habari za siasa.
Kwa ufupi sana majukumu yangu hayahusiani kabisa na siasa na hayahitaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.