Oct 7 Hamas walipata ushindi huohuo kwa kuua na kuteka raia.
Jambo moja ambalo wengi hujisahaulisha ni kuwa Wayahudi huongozwa na kanuni ya jino kwa jino.
Alafu hao mateka Israel inawatumia tuu kama kisingizio. Lengo la wayahudi ni kuiharibu na kuiangamiza na kuwakomesha wapalestina na ndicho...
Mimi naamini kila mtu anajambo zuri la kujivunia ambalo Mungu kampa.
Mfano Kipaji, nguvu, akili, uzuri, ûkakamavu n.k.
Kwa nini mtu aone wivu kwa majaliwa ya wengine badala ya kufurahia majaliwa yake?
Kikawaida hakunaga Handsome anayejiita Handsome.
Ila kuna wale ambao hushindwa kutofautisha utanashati na ûhandsome.
Wale wanaume ambao wengi wao sio Handsome semà hujipodoa na kujivika kisha hujiita Handsome na kutenda mambo kama wanawake. Wengi wao ninaowajua ambao baadhi yao ni maarufu kwenye...
Bongo ukiona jambo linasifiwa sana ujue hapo kûna tatizo,
Ukiona linàpondwa ujue mara nyingi ni mti wenye matunda.
Bongo wale wema huitwa wabaya na wale wabaya huitwa wema.
Habari za jumapili!
Ni wivu katika jamii au ni jambo gani?
Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika,
Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya na kumhusisha na umalaya, udangaji, ukahaba n.k?
Wakati ûkienda site unakuta hali ni tofauti...
RIWAYA YA CONNECTION EP 03
Mtunzi: Robert Heriel
Mwaka 2024
Kazi hii itarushwa katika mitandao kwa akaunti hizi:
Facebook: Robert Heriel Tz
Jamii Forum: Robert Heriel Mtibeli
WhatsApp +255693322300
ILIPOISHIA
“Nifanye nini mimi! Huu mkosi huu! Maskini Profesa Saimon. Alikuwa anaipenda sana kazi...
RIWAYA YA CONNECTION EP 02
Mtunzi: Robert Heriel
Mwaka 2024
Kazi hii itarushwa katika mitandao kwa akaunti hizi:
Facebook: Robert Heriel Tz
Jamii Forum: Robert Heriel Mtibeli
WhatsApp +255693322300
ILIPOISHIA
“ Sawa mpenzi. Kama ukiona inakusumbua mwambie hata shemu Darlin Rais, huyu Profesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.