Huwa wanapata nini cha zaidi ambacho mpaka wanapenda kiasi hawajielewi ? Kukojoa ni kuleukule tu me hawa wanaozimikaga nahisi ni mtu jinsi alivyoumbwa labda na ushirikina akikufanyia
Mimi nnamauimivu ya miguu kama mwaka au zaid na mara nyengine nnapoanza kulala naskia kama vitu vinatembea kwenye miguu nshafanya vipimo vingi vyote viko fresh kati sehem nlizopita kuna sehem nlipewa amitripyline na gabapentin kwa mwezi ! Nkila dawa zikiisha tu maumivu yanarudi
Sasa hajapigwa mbona Israel na marekani wamekubali uwanja wa Jeshi ulishambuliwa ? Wapi Iran Kasema kashambulia watu au uwanja wa mpira ? Mbona Ukraine ligi pia inaendelea au we mpira unaujua wa Israel tu ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.