Search results

  1. Ubavu

    Uhitaji wa Ushauri, Past tests, Links zenye maswali na Ushauri pia kwa mitihani ya Graduate Records Examination (GRE) & IELTS

    Habari za usiku huu wakuu. Kama kichwa cha thread kinavyosema, ninahitaji past papers, links zenye maswali pamoja na documents maana nipo kwenye maandalizi ya mitihani hii. kama utakuwa na uwezo wa kuniunganisha na watu ambao wameshawahi kufanya au wanajiandaa kama mimi nitashukuru zaidi...
  2. Ubavu

    Yajue usiyoyafahamu kuhusu Vita ya Kagera

    Wakuu hapa nitawaletea matukio yote muhimu wakati wa vita hii ya Kagera. Sio kama mimi ndiye niliyeandika la hasha! Ninachokifanya mie ni kuwaletea hapa kutoka Gazeti la Mwananchi. Kaa nami upate uhondo huu. Vita kati ya Tanzania na Uganda, au Vita ya Kagera ilidumu kwa miezi sita kuanzia...
  3. Ubavu

    Kwa siye watoto wa 80's mpaka mwanzoni mwa 90s kama hujawahi kuziona muvi hizi basi hujafaidi stage hiyo ya ukuaji.

    Miaka ile kama hujapata sh 20 ya kuingia banda la video basi siku yako haijatimia..! Sie wengine tuliokuwa hatuna pesa hivyo tulikuwa tunaresolve kuchungulia kwenye madirisha or vitundu vidogovidogo vya mabati. Ukidakwa na muonyesha video makonzi utakayo kula hapo utaenda kusimulia. Wale...
  4. Ubavu

    Hali tete kwa rafiki yangu

    Habari za usiku huu wakuu. Hopeful wengi wetu siku ya leo ilienda poa. Baada ya formalities naomba niende kwenye mada husika. Kama kichwa kinavyosema, rafiki yangu hali ni tete katika mahusiano yake. Shida kubwa inayomsumbua ni kushindwa kugegeda kwani mjegejo wake kwa siku za hivi karibuni...
  5. Ubavu

    Hivi kumbe jf app inabadirika rangi kila baada ya siku kadhaa

    Mambo vp wakuu. Toka juzi natumia jf app hapa nikaona imetoka ile blue yake tulioizoea mpaka black or niseme dark blue. Sasa leo nafungua nakuta imebadirika tena imekuwa hata jina la rangi yenyewe sijui..! Mi niliipenda ile black..
  6. Ubavu

    Nimelima muhogo katika shamba langu huko Tanga, naiuza

    Wakuu habari za mchana huu. Natumai wote muwazima na mnaendelea katika pilikapilika za kulijenga taifa hili husika na kichwa cha uzi huu hapo juu. Nimelima muhogo katika shamba langu huko Tanga Kwamsisi Handeni takribani ekari 10. Shamba limeshakubali na nimeanza kuvuna mihogo kidogo kidogo...
  7. Ubavu

    Maulid Said Mtulia umepotoka!

    Nikiwa kama kijana niliyekulia Mwananyamala na kuishi wilaya ya Kinondoni, nimesikitishwa sana na kitendo cha kujiuzuru ndugu Maulid Said Mtulia kuwa Mbunge pamoja nafasi zake zote ndani ya chama cha CUF. Sijashangaa kutokana na kitendo hicho hasa ukizingatia kwa jinsi upepo wa kisiasa unavyo...
  8. Ubavu

    Ni lini Open University wataita kwenye Usaili post ya lab scientist?

    Mnamo tarehe 28 october (kama sijakosea), Open university walitoa majina ya watu waliokuwa shortlisted kwaajili ya kufanya interview kwa posts za Assistant lecturer na Tutorial assistant. Cha kushangaza kuna baadhi ya posts hawakutoa majina wala maelezo ya kwann hawakuita watu kwenye interviews...
  9. Ubavu

    Mahakama mnatuonea watanzania wa hali ya chini!

    Leo nilitembelea mahakama moja wapo hapa jijini dar es salaam kwa nia ya kutiliwa saini kopi za vyeti vyangu vya elimu. Nilikaribishwa vizur tu pale mapokezi. Nilipoeleza shida yangu, nilishangaa kupewa utaratibu mpya wa kupatiwa huduma hii muhimu hasa kipindi hiki ambacho ajira zimefunguliwa...
  10. Ubavu

    Idd Amin Dada

    KUMBUKUMBU YA VIONGOZI WA AFRIKA Pichani ni aliyekuwa Rais wa Uganda Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular Katika picha kubwa Idd...
  11. Ubavu

    Picha ya kukumbukwa

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akisalimiana na babake mzazi, Amos Kaguta huko Rwakitura muda mfupi baada ya vikosi vya NRA kuliteka jiji la Kampala 1986. Aliyevaa magwanda ya kijeshi kulia ni mhandisi Winnie Byanyima, ambaye ni mke wa Col.Kiiza Besigye.
  12. Ubavu

    Kundi la kijeshi lafanya mapinduzi nchini uturuki

    Kundi moja la kijeshi nchini Uturuki linasema limechukua udhibiti wa nchi, huku madaraja jijini Istanbul yakifungwa na ndege za kijeshi zikionekana kupaa katika anga ya Ankara. Mapema waziri mkuu Binalo Yildirim alitangaza kuwepo kwa “hatua zisizo halali” zilizochukuliwa na “kundi” la kijeshi...
  13. Ubavu

    Mauaji ya kimbari ya Nama na Herero 1904-1908

    Nmesikia katika taarifa ya habari kwenye idhaa ya kiswahili ya Ujerumani (Deutsche welle ) kuwa ni leo rasmi ndio Ujerumani imekubali officially kuwa serikali yao ilifanya mauaji hayo ya kimbari! Nikaona ngoja nifanye kaufatiliaji kidogo kuona kipi kilitokea miaka hiyo.. Kwa kweli...
  14. Ubavu

    Happy birthday Regina Lowassa

    Nmeifuma kwenye facebook page ya Mzee Lowasa..[emoji57]
  15. Ubavu

    Mashambulizi ya kujitoa mhanga yatokea nchini Russia muda huu

    Three suicide bombers have launched attacks in Russia's Stavropol region in the north Caucasus, the Interfax news agency reports, with a police station thought to have been among the targets. Source: the independents. Sijajua kama ni mashambulizi ya kigaidi but in hatari..
  16. Ubavu

    Be like Bro !

  17. Ubavu

    History: kama imepangwa..

    Ni kama utani vile lkn ni ukweli,,,, Raisi wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta aliyekaa, na Raisi wa pili wa Kenya Mzee Daniel Moi aliyesimama mwenye suti mistari mistari na Raisi wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki aliye inama kashika magoti pamoja na Raisi wa sasa Uhuru Kenyatta alipokuwa mdogo...
  18. Ubavu

    Rais Putin atoa amri ya jeshi lake kuondoka Syria Mara moja

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ametoa amri kwa wanajeshi walioko Syria kurejea nyumbani mara moja kwa sababu tayari wametekeleza asilimia kubwa ya malengo yao. Akizungumza katika ikulu ya Kremlin Putin, alisema ''Tayari tumeshakamilisha asilimia kubwa ya madhumuni yetu nchini Syria kwa hivyo...
  19. Ubavu

    Sorry Christians but its true...

    [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
  20. Ubavu

    Ona maneno ya watu wa unguja...

    Mimi wala siongezei neno...
Back
Top Bottom