Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi huo ujinga ungefutuliwa mbali
Hii inamfanya mkuu wa mkoa ajione yeye ni mungu maana anaweza fanya...
TANESCO wanatakiwa kwenda na wakati unit 75 kwa mwezi kwa maisha ya sasa ni chache sana maana kwa sasa vitu basic vya umeme majumbani ni vingi mambo yamesha badilika na nyie mbadilike
Mtu anatumia umeme kwa kujibana bana kisa anaogopa kuvuka unit 75 na wakati vitu alivyo navyo ni basic kabisa...
Nashauri kuwe na TANESCO kwa kila kata hata kukiwa na fundi mmoja tuu akasaidiana na hawa mafundi wasaidizi waliopo ili kutatua changamoto za umeme ambazo zinatokea kwa sababu kuna wakati inaanguka nguzo tu ya umeme lakini inaweza kuchukua hadi wiki 2 bado hawaja badilisha wakati huduma yao...
Kuna wanaume nawashangaa sana unakuta baba zima limesimamisha kitambi na ndeke zake lina wasemea wanawake utadhani na lenyewe limama, mara ooh! Kuwe na 50 kwa 50 mara ooh! haki sawa, halafu ukilitizama ni jibaba zima kabisa lenye mwili na sijui kuhusu akili
Niwaambie tu ukweli hapa baada ya...
Kuna haja gani ya kuwa na Wizara ambayo heileti solution? Kama hadi sasa hakuna muongozo wa Wizara kuhusiana na tatizo hili, matokeo yake watu wanajipaka tuu madude yasiyoeleweka na kupelekea wengine kupata upofu.
Hata ukienda hospitali wanakwambia hatuna maelekezo hivyo mkanawe tuu!
Hii ni...
Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao.
Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza.
Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.