Search results

  1. Mama Mwana

    Hii ndoto inamaanisha nini?

    Siku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwahi kuipita, yaani unaiona njia inaelekea huko ila sijajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha nikajikuta nimefikia kwenye kitongoji nimekaa kibarazani nje. Mbele yangu kuna minazi kwa idadi ni...
  2. Mama Mwana

    Rafiki yangu Mwalimu wa Shule Binafsi hajapokea mshahara tangu Januari

    Kuna rafiki yangu alipata ajira ya ualimu shule ya sekondari ya private, tangu januari hajapokea mshahara huu ni mwezi wa tatu hajaona salary yake na he is doing just fine. Shule binafsi mnachokifanya sio sahihi, mtu anakufanyia kazi ya kukupa matokeo kwa nn humlipi salary yake? ila akija...
  3. Mama Mwana

    Namna ya kujiunga na UTT AMIS

    Hellow friends, naomba kuelekezwa namna ya kujiunga na hii kitu
  4. Mama Mwana

    Wanaume na suala la kuhonga

    Aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yaani mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapoti kiasi nayo ni vita? wanaume wabahili wa JF mnachekesha sana, mimi nafanya kazi na hela yangu inatumika na sote wawili, kilichopungua baada ya yeye...
  5. Mama Mwana

    Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale. Mume hana shughuli yoyote...
  6. Mama Mwana

    Sisi wanawake bwana!

    kunaye mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni mzuri mashallah Kaka wa watu kajitafuta kajipata, kajitutumua kwenda ukweni akapangiwa mahari tena ya...
  7. Mama Mwana

    Ni namna ipi bora kwako kuishi na watu?

    Ni ipi bora kwako katika kuishi na waja kati ya haya 1. Kua busy na maisha yako bila kujali ya wengine, unachoshiriki ni misiba nasherehe ambazo utakua unaalikwa 2. Kujipendekeza sio kwa ubaya mfano jambo halikuhusu lakini unaona una uwezo wa kulifanya na likawa ukafanya. 3. Wewe ni mama /...
  8. Mama Mwana

    Ummy Mwalimu, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Diwani Mwinjanga na wote wanaohusika saidieni hawa vijana

    kuna vijana walichaguliwa kujifunza kilimo cha kisasa,wakiwa chini ya halmashauri ya jiji la Tanga na washirika wao Botna na SUGECO. Saidieni hao vijana wapate stahiki zao wana akiba ya kiasi cha Tsh. million nane benki, wameachiwa mradi wauendeshe ajabu wanachosemea wameomba kutoa pesa...
  9. Mama Mwana

    Sikubaliani na neno hili 'kitanda hakizai haram'

    Mtu anakwambia hamna neno kitanda hakizai haram lea tu huyo mtoto hata kama sio wako, you guys hii si sawa, yaani una mumeo umemsaliti ukambebea mimba ya nje bado ukambambikia na mtoto juu halaf useme kitanda hakizai haramu? Ama Kama umeolewa ukafanya hivyo jua tu hio umefanya haram sababu...
  10. Mama Mwana

    Je, umewahi kukatishwa tamaa katika kujaribu kwako? soma hii

    Maisha bwana ya matukio mengi sana, kuna watu hao ni maalum ku critisize wengine, mtu unaona ana kitu atafika mbali unamkatisha tamaa ili ugundue nini kama sio roho ya kichawu inakuandama? unayejaribu usikatishwe tamaa na watu. 1. Fanya kile unaona ni sahihi usipendelee kumshirikisha kila mtu...
  11. Mama Mwana

    Ni ipi logic ya kupewa hela au zawadi yoyote siku ya kuzaliwa kwako?

    Yaani nimezaliwa tarehe kama ya leo unanipa zawadi au hela kwamantiki gani? Kwamba unanipa zawadi kwa kuzaliwa? Unanipa hela sababu nimezaliwa leo? Sijaelewa naomba kueleweshwa.
  12. Mama Mwana

    Nini maana ya ndoto hii?

    Nimeota nipo sehemu nisioijua ni kama mji hivi, umechangamka kiasi nikajikuta na mtu nisiemjua, tukaenda kwenye mwembe uliokua umemwaga maembe mengi lakini hayana muokotaji. Basi tukaanza kuyaokota lakini mengi yalikua mabichi nikasema niokote mabichi ndio makubwa na la kuiva lilikua dogo...
  13. Mama Mwana

    Kwa wanawake/wasichana wote hapa JF

    Good evening, Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? Namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna...
  14. Mama Mwana

    Kisa gani ulikumbana nacho kwenye safari yako ya mapenzi

    nilikua nikieperuzi peruzi humu nikana kuna mtu anatafuta mume mtu mzima akanikumbusha mbali sana kwenye moja wapo ya kisa nilichokutana nacho, ilikua hivi nilitokea kupata danga la kizee, ni mtu mzima mno maana si mama yangu wala baba yangu anamfikia sasa nikawa namuita babu, huyu babu niseme...
  15. Mama Mwana

    Hivi umefanikiwa kusamehe kila jambo linalokutokea au lililokutokea kwenye maisha yako?

    Haya maisha haya, unakutana na mambo mengi sana ya kukuumiza moyo na kukufurahisha yes dunia imeumbwa hivyo. je wewe umeweza kusamehe kila jambo lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako? mimi nimeshindwa, kuna watu bwana nilikua nao very close, katika maisha yetu mimi ndie nilikua...
  16. Mama Mwana

    Wanaume na kubadili dini

    Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo. Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar...
  17. Mama Mwana

    Wapenzi wa tamthilia ya “In Love With Ramon” mpo?

    Wapenzi wa hii tamthilia humu ndani mpo? Unafagilia penzi la Ramon na Sofia au Ramon na Fabiola? Mimi kuna muda Fabiola ananiboa balaa na angoje Fransisco ampige na kitu kizito baada ya kumpa hela za mirathi. Jana sijaicheki, vipi walipata signal na kufanikiwa kurudi mjini? Dalya naye anaanza...
  18. Mama Mwana

    Starehe ya mwili

    Hivi ni kwa nn wanaume mkiwa na nyege mnakuaga so romantic? nimekaa nachat nashemej yenu najichekea jinsi anavyo respond yan yupo so romantic sababu ya nyee sasa nna kazi ya kuagiza vitu na yeye anaitika tu ntakuletea, nitakutumia au nitakupa, naogopa asije nihonga dunia mkakosa pa kukaa, mimi...
  19. Mama Mwana

    Naomba kujuzwa kuhusu hili la mbuzi

    Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini kinasababisha hilo?
Back
Top Bottom