Sikiliza hii video kuanzia dakika ya kwanza na sekunde 20 utapata jibu.
https://youtu.be/3-61pUhI2Yc?si=JmV_EPW8fu0Wu9hS
Lakini kwani watu wakitesema faida inakuwa ni nini hivi kukata umeme mfano kata ya kawe tu ni hasara kiasi gani inapatikana kwa siku?
Je, wanapokata umeme huwa wanapata...
Kumekuwa na news nyingi sana kuhusu single mamaz kwamba siyo watu sahihi sana kuoa labda tu kama wazazi wenzao wawe wametangulia mbele za haki kidogo inaweza kuwa salama kwa muoaji
Lakini niko hapa na mtazamo tofauti kidogo
Kuna wanawake wenye historia ngumu za mahusiano yao yaliyoishia vibaya...
Waafrika wote tungekuwa kama hivi kwa hawa wazungu wangekuwa wanatuheshimu sana
Unapoanza kumuogopa na kunyenyekea mtu anajiona ana uspecial flani hivi na mwisho anajiona ana haki ya kukuburuza anavyotaka
Lakini kadiri unavyokuwa mtu wa hovyo ndiyo watu wanazidi kukudharau na kujichukulia...
Hawa jamaa wanatuhitaji sisi kuliko vile ambavyo sisi tunawahitaji wao. Kwahiyo hawana uwezo wa kusitisha msaada wowote ule ambao wanatupatia
Kwa kulitambua hilo Viongozi wetu wakatae suala la ushoga kwa macho makavu kabisa mpaka wenyewe wasiamini wanachoona na kusikia.
Baada ya kukataa suala...
Wakuu kuna hii biashara ya shisha ambayo naona bado haijagunduliwa na wengi haijasambaa sana lakini naona ina wadau wengi (wateja).
Kuna mwenye details za hii biashara aweze kushare na sisi tupate uelewa kidogo?
Unaweza kuta watu wanajipigia Mihela tukijakushtuka too late. Tunaomba muongozo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.