Search results

  1. M

    Je, naweza kupata ajira magereza kwa cheti cha kidato cha nne?

    Habari za muda huu wakuu nina Degree, Je, naweza kuomba ajira za magereza kwa kigezo cha form four na kutakua na uwezekano wa kupanda cheo hapo baadae kutokana na elimu niloyonayo? Vigezo vyote ninavyo kama JKT. Nawasilisha
  2. M

    Tutorial Assistant

    Habari za saizi wana jamii forum nimekuja mbele yenu kuna issue nataka kuulizia maana kuna mtu anaulizia Ni vigezo gani vya kuwa tutorial assistant kwa vyuo vikuu na vyuo vya kati amemaliza mwaka huu ana overall GPA ya 3.8 ifm na kama kuna mtu yoyote ana sample ya barua ya maombi anaomba...
Back
Top Bottom