Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi 😃 Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa watu anateseka wakati anasifa zote ... kukutana watu wanao pair ni mara chache mara nyingi mtu...
Kama haumpendi mtu/ haubarikiwi na mtu huna haja ya kumtukana mtu mtandaoni. Ndiyo maana waliotengeneza hizi App wameweka options za unfollow, delete, block. Inashangaza kuona mtu ana makasiriko kwenye page za watu utazani amewekewa Super glue au kuna smaku inamlazimisha abakie.
Busara...
Kukua kwa sayansi na Teknolojia ni maarifa ambayo Mungu ameyaachilia kwa wanadamu , Dunia ya sasahivi imekuwa kama kijiji unaweza ukawa Bonyokwa ukaongea na mtu wa London , Nashangaa sana kwa Dunia hii ya leo yenye Teknolojia unakuta mtu kaweka Speaker Stendi anahubiri !
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
Tanzania ni kati ya nchi za Duniani ambayo ina unafuu mkubwa wa maisha na fursa lukuki ukilinganisha na mataifa mengine, ni kutuliza tu akili yako kusaka ramani.
Wapo vijana ambao wanadanganyana kwamba ukizamia SA au mamtoni Life linakuwa kitonga.
Nilikuwa naangalia makala ya chombo kikubwa...
Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni , unashangaa anaagiza vitu vizito vizito ! Tena zaidi hata unavyokula , halafu anamwambia muhudumu...
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.
Naomba msamaha kwa...
Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa.
Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua.
Nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma...
kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite 😀😀😀
Usi force kutafuta mpenzi kwaajili ya kumkomoa X , humkomoi unajikomoa mwenyewe unaweza ukajikuta unaruka mkojo halafu unakanyaga kinye* muda mwengine tuliza akili kwanza ujifunze wapi ulipokosea ili usiyarudie makosa uliyoyafanya . .
Mwanamke anatakiwa awe mkomavu wa kimwili mpaka ki akili.
Wapo baadhi ya wanawake kila kitu anamtegemea mwanaume amfanyie, tambua hata huyo mwanaume unayemtegemea kwa kila kitu ni binadamu, Duniani kuna mengi; kuna kuumwa, ajira/biashara kuharibika, vifo, nk, utaishije na watoto wako hayo...
Wa Tanzania wanatabia za kuamini sana na kueneza maneno ya uzushi ,, unakuta mtu anavumisha jambo na analielezea kwa hisia zote utadhani alikuwepo eneo la tukio / alilishuhudia jambo, hii tabia haifai kabisa , halafu watu wa aina hii wakiitwa kuisaidia mahakama kutoa ushahidi wanakula kona ☺...
Mswahili ukitaka umvuruge akili zake rahisi sana maana waswahili wanaamini sana katika ushirikina.
Chukua kichwa cha kuku tafuta karatasi buni maneno ya kiarabu kwa wino mwekundu halafu andika na jina lake mtupie katika biashara yake, ofisini au nyumbani kwake 😃
Akija kuona atachanganyikiwa...
Wanaofikiri/ wenye mawazo kwamba EAC jumuiya ya umoja wa Afrika mashariki ipo siku inaweza ikaungana wanajidanganya kama ilishindikana kwa kipindi kile ambacho nchi zetu zilikuwabado ni changa sioni kama sasa inawezekana na hata wakijaribu kuungana haitochukua muda watavurugana.
Kama sasahivi...
Nimefanya tafiti nimegundua wanawake wanaojiweza kiuchumi (wapambanaji) huwa hawapendi kuwa na mwanaume ambaye anajiweza kiuchumi zaidi yake ambaye atamtawala, huwa wanatafuta mazoba ambayo watayatawala.
Mwanaume ambaye anajitambua huwa hawezi kuwa chini ya mwanamke ndani ya nyumba, huwa ana...
Usiwe mtu wa kupokea misaada/zawadi hovyo hovyo, huwa inatengeza mazingira ya kutawaliwa na kumpa mtu nguvu ya maneno dhidi yako ikitokea siku mmetofautiana.
Misaada/vya bure huwa inaleta unyonge unakuwa huna ujasiri kwa mhisani wako.
Jitahidi kwenye maisha yako kujitengenezea mifumo ya...
Mwanaume akipata mtoto usimwambie hongera kwa kuzaa, mwambie hongera kwa kuzalisha. Wanaume huwa hawazai wanazalisha, waalimu wa somo la Kiswahili mnatakiwa kulaumiwa Sana watu wengi hawaongei kiswahili fasaha.
Kuna wanawake kazi kuishinao hujapokea simu kwa wakati utaona meseji inatumwa we Malaya uko wapi [emoji2] heee! Hajali upo kwenye hali gani pengine Una dripu hospitali[emoji2]
Ukimkuta aliyestarabika mwenye mindset ya kizungu wala hana panic utaona text inaingia baby are you okay ? , i just...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.