Search results

  1. Rocky City

    Machafu ya kiwanda cha Mkulazi Holding Campany Limited

    Hiki ni kiwanda cha sukari cha Mkulazi kilichopo Dakawa ni kiwanda tunacho ambiwa kikubwa Afrika Mashariki na kati.[emoji2][emoji2][emoji2] kwa kuzalisha sukari. Mzee Magufuli alipambania Tanzania ya viwanda na huenda hicho ni moja ya jitiada zake, RIP, lakini kiwanda hiki serikali ya sasa kwa...
  2. Rocky City

    Rais Samia karibu Dumila

    Nikiri kuwa Dumila ni mji mdogo unaopatikana wilaya ya Kilosa ambao kwa miaka ya hiv kalibuni umekuwa kwa kasi sana, ukichagizwa na uwepo wa kiwanda cha sukari umbali wa kama kama 30 hivi cha Mkulazi holding campany ambacho tunaambiwa ndio lengo la safari yake kule. Wiki iliyopita nilikwenda...
  3. Rocky City

    Ongezeko na kupanda madaraja serikalini hufanyika mwezi upi?

    Hivi haya maongezeko na madaraja serikali hupandisha mwezi upi? Mara nasikia mwezi wa saba mara mwakani, haya wajuzi wa mambo naomba msaada nimeajiliwa mwaka juzi tu hapa misitu.
  4. Rocky City

    Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

    Wakuu habar zenu! Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna...
  5. Rocky City

    Askofu Kanisa Katoliki Iringa fuatilia chuo cha Tosamaganga

    Wakuu, Niende moja kwa moja kwenye hoja. Imezoeleka kwa muda mrefu sana kuwa vyou vinavyo milikiwa na makanisa ni vyuo bora vyenye kujali utu na malezi bora. lakini ukweli ni kwamba baadhi ya vyuo hivi vya dini vina uovu mwingi usioelezeka. Chuo cha Tosamaganga Iringa ni moja ya chuo chenye...
  6. Rocky City

    Chuo cha Tosamaganga

    Habar wakuu,samahani naomba mwenye maelezo ya kujua chuo cha Tosamaganga ni chuo cha namna gani,mtoto akisoma hapo mazingira yake yako vizur?maarifa wanatoa vizur?hakuna ubabaishaji? Upande wa masomo kwa vitendo vp?fatadhali naomba kupata mbili tatu,nomeona website yao haina details nyingi na...
  7. Rocky City

    Mtu mwenye utaalamu wa IT

    Wadau natafuta mwenye ujuzi wa mambo ya computer haswa editing ya maneno kwenye kwenye pdf. Tafadhali naomba anicheki
  8. Rocky City

    Mshahara nao tumegomewa!!!!

    Jamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna fununu zozote jikoni huko???
  9. Rocky City

    kushidwa ku serve picture wasap

    wakuu simu yangu ina tatizo la kushindwa ku serve picha wasap kwenye profile ya mtu nikibonyesha kwwenye option pale hakuna option hiyo.nime update mala kadhaa lakini wap..naomba kupata msaada wa wataalamu humu jamvini.
  10. Rocky City

    Majina ya whattsap kupungua bila kufuta

    Habar za asubuhi wapedwa,naomba kwa wajuzi wa mambo haya ya mitandao wanielimishe hiv inatokea vip hujafuta majina katika whattsap contacts yako lakini cha ajabu kama ulikuwa na majina 250 wasap yako unakuta majina 245 hii inatokana na nn??au mtu akifuta namba au kubadili whattsap yake na ww...
  11. Rocky City

    Naombeni msaada wenu namna ya kufunga namba fulani isinipate hewani

    Wana jamvi naombeni msaada wenu namna ya kufunga namba flan isinipate hewani kuna namba zinanisumbua sana tafadhali naombeni msaada wenu ndugu zangu kwa wenye ujuzi.application zingine ninazo elekezwa akikupigia sim inaita kidogo inakata mtu hapo anajua ume m block kama kuna nyingine naombeni...
  12. Rocky City

    Tetesi: Je ni kweli Nyerere hakupata changamoto hii???

    Hv jamani kwa wale wahenga ni kweli nyerere hakuwahi.kupata majanga ya kupinduka kwa meli,vivuko kama marais wengine wote??yani kwamba nyerere pekee pamoja na kuongoza mda mlefu lakini hakupata pigo kama hili kulingamisha awamu za marais wengine??
  13. Rocky City

    Ushauri kwangu na mapendekezo kwa serikali

    Wakuu habar za juma pili, Niende kwenye hoja,si mala moja utasikia viongozi wetu hasa wa miaka ya nyuma yani walio soma miaka ya nyuma utasikia anakwambia mm ni daktari lakini pia ni mwandisi mana yake amesomea mambo yote hayo kwa sababu walipewa nafasi na ndii mana malengo yao yakatimia,najua...
  14. Rocky City

    Namna ya kuongeza urefu wa sms kwenye sim za smart.

    Wadau naombeni kupewa utundu na marifa hapa,ukiandika sms kwa sim ndogo unaweza kuandika mpka pages 5 kwa baadhi ya sim lakini sms hiyo hiyo ukiituma kwenye simu za smart inaingia ndefu sana lakini ukii kopi tena kwenye smart ili uitume inakuwa limited inakutaka uidadili kuwa martimedia sms hapa...
  15. Rocky City

    Kushidwa kuingia kwa mfumo wa kawaida

    Wadau naombeni msaada kila niki sign in kwa acount yangu ya kawida inafunguka lakini haionyeshi kitu inaniambia try to use browers na mm natumia sim nili down load kama application sasa inasumbua wahusika naombeni msaada nimemisi sana jamvin kuingia kwa application iko bomba zaidi pia wadau...
  16. Rocky City

    Nimepata ajali nimeng'oka meno mawili

    Wakuu.. Poleni na kazi.. Samahani sana kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ninepata ajali ambayo imepelekea kutoa meno 2 ya mbili kulia na kushoto wanayaita chonge nazani kila upande.. Sasa ukweli sitaweza kukaa hivi naomba kujua wapi naweza pata sehemu nzuri ya kuweka artificial maisha...
  17. Rocky City

    Wazibiti ubora wa shule

    Nimeshangaa sana leo nilipo pata na kufuatilia taarifa hii ya hawa wanaoitwa wazibiti ubora wa shule...baada ya kujua kazi na wajibu wao katika utendaji wao wa kazi..kumbe ni watu wenye umuhimu na majukumu makubwa ya kusimamia elimu kwa ujumla..bado katika mfumo wao wa utendaji uwezo mdogo sana...
  18. Rocky City

    Mrejesho kutoka NMB

    Habarini za jioni wadau, Bila kupoteza muda niwashukuru sana wale waliojitoa kunipa ushauri nini cha kifanya. Jana nilileta uzi hapa wa kuhusu mkopo wangu deni kuongezeka.Huu ni wizi mpya NMB ama nini shida? Nimekwenda pale NMB ni kweli kulikuwa na matatizo wakuu ila nimeshughulikiwa vizuri...
  19. Rocky City

    Huu ni wizi mpya NMB ama nini shida?

    Natumani mnaendelea na kumalizia Pasaka, binafsi mimi jana nimekuwa na mawazo juu ya mkopo wangu wa NMB. Mnamo terehe 17.3.2018 niliomba mkopo NMB ambapo jumla ya deni lao likawa milioni kumi na point zake, wakaanza kukata kama kawaida mwezi uliofuata baada ya kupata mkopo na kwenye salary...
Back
Top Bottom