Search results

  1. Urban86

    Uzi maalum wa kupeakana connection za upatikanaji wa finishing materials kwenye ujenzi

    Habari wanaJF Ni hitaji la kila mtu kuwa nyumba bora ya kuishi. Katika hatua za ujenzi tunajua kusimamisha jengo sio shughuli sana. Kazi inakuja kwenye kufanya finishing ambapo gharama zinaweza kwenda hata mara 2 au 3 ya gharama za kusimamisha jengo kutegemea na ubora wa materials za...
  2. Urban86

    Ukumbi au eneo la kukodi kwa ajili ya kufanya ibada za kanisa linahitajika

    Ukumbi au eneo la kukodi kwa ajili ya kufanya ibada za kanisa linahitajika. Uwe maeneo ya Ubungo, Mwenge, Sinza au jirani kabisa na maeneo hayo. Nipigie 0755571604 au 0783095169 Asanteni.
  3. Urban86

    Kuna wanadamu na wanadamu viumbe vipya. Hawa wanadamu viumbe vipya ni akina nani hasa?

    MWAMINI NI #KIUMBE_KIPYA Je unajua nini kilitokea katika kuokolewa kwako? Je! Unafahamu umekuwa nini mara baada ya kuwa na imani katika kufa kuzikwa na kufufuka kwa Kristo ili wewe uhesabiwe haki? Wewe umekuwa #Kiumbe #kipya! 2Wakorintho 5:17 Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa...
  4. Urban86

    Ni wakati gani mtu anaokoka?

    Maswali ya msingi kujiuliza 1. Ni mambo gani yanatakiwa kuaminiwa ili mtu kuokoka? 2. Umeokoka? Uliamini nini? 3. Unaweza kuelezea kwa maneno rahisi nini maana ya kuokoka? Imani katika Kristo ni KUPOKEA kutoka kwa Kristo na sio KUMPA Yesu au kutoa kwa Yesu. “Bali wote waliompokea aliwapa...
  5. Urban86

    Charis Camp Meeting Morogoro

    Unataka kukua kiroho? Unatamani kufika katika kambi bora kabisa la kujifunza Neno la Mungu? Njoo jiandikishe inbox mapema sasa usikose nafasi... Kambi la kuweka alama katika maisha yako! Kambi la kugeuza fikra zako kwa habari ya mambo ya Mungu... Ni katika msisitizo wa Neno katika kina na...
  6. Urban86

    Mashine ya kusaga vitu vikavu kama nafaka aina zote, viungo vya chakula ya Ujazo 3kg

    Ina bakuli la ujazo wa kilo 3kg. Kwa wajasiriamali wa viungo vya chakula, vinywaji kama kahawa, cocoa na majani makavu, wauzaji wa butter, unga wa lishe na dawa za mitishamba/herbals hii si ya kukosa. Inasaga kwa dakika 5. Inatumia umeme wa nyumbani Hii ni mashine mpya kabisa imara yenye uwezo...
  7. Urban86

    Bando za internet mitandao ya simu siku hizi zinawai kuisha mapema kuliko ilivyokuwa awali. Tatizo ni nini?

    Habari wadau? Awali nilikuwa nikinunua bando la internet la gb 1 niliweza kukaa nalo mpaka siku 3 - 4 kwa kubrowse vitu kwenye mitandao bila kudownload files kubwa. Sasa bana siku hizi hiyo hiyo gb1 siku 1 tu kamessage kanakuja bando limekata. Nimejaribu mitandao tofauti ya simu mingine ndio...
  8. Urban86

    INAUZWA Eggs Incubators zinapatikana kwa bei nafuu

    ECO FARMS INNOVATIVES ni wasambazaji wa mashine za kisasa zenye ubora “Automatic” za kutotolesha vifaranga vya kuku, kwale, kanga, bata n.k. zenye ubora kwa bei nafuu. Zipo za mayai 48, 96, 176, 264, 352, 528 na 1056. Bei zetu ni nafuu sana kama ifuatavyo: Ya mayai 48 ni 350,000 ya mayai 96 ni...
  9. Urban86

    Incubators: Changamoto zake, Jinsi ya kupata ufanisi mzuri na mafanikio zaidi kwenye incubator yako

    Kulingana na utafiti uliofanywa, matatizo ya uzalishaji wa kuku ambayo wafugaji wa kuku wanakabilina nayo kwa kutumia mashine za kutotolesha vifaranga na huchangiwa na mambo yafuatayo: 1. Wafugaji hawafuati maelekezo ya kutumia incubator (mashine ya kutotolesha vifaranga). 2. Wafugaji...
  10. Urban86

    INAUZWA Nunua mashine za kutotolesha vifaranga zenye ubora kwa bei poa

    Tunauza mashine mpya za kutotolesha vifaranga. Mashine zetu ni mpya na zenye ubora wa hali ya juu. Kwa sasa tunauza mashine za kutotolesha mayai 1056 na mayai 528. Inatumia umeme wa 220V na power consumption ni 200W (ya Mayai 1056) na 140W (ya mayai 528) Sifa za mashine zetu:. 1. Zina mashine...
  11. Urban86

    Good News! Kwa wanafunzi wa Vyuo na Wengineo; Make college/work life easy with Android Tablets

    Do you fail to deliver school assignments on time because you don't have personal computer? Are you unable to do your urgent works, assignments because of uncomfortable environment to work with your laptop? Here is what tablet can do for you; Do your assignments and urgent works on time...
Back
Top Bottom