Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Naomba kuiambia serikali kupitia Wizara ya Elimu na Wizara ya mambo ya nje ,kuingilia kati suala hili la wanafunzi wetu waliopata ufadhili wa Elimu (Master's Degree ) nchini Poland. Serikali ya...
19 Reactions
72 Replies
6K Views
Kichwa cha thread kinajieleza. Ninawatakieni nyote Heri ya Sikukuu ya Pentekoste. Ukaja Upepo kutoka Juu Mbinguni na Wote wakajazwa na Roho Mtakafu, haleluya! Tundu Antipas Lissu anaonekana...
2 Reactions
11 Replies
64 Views
GENTAMYCINE pole sana ila upunguze mdomo na uongo uongo, Simba msimu huu hakuwa na kikosi cha maana.
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Kwa anaemjua anisaidie namba yake nmepata dharura 0678096545
1 Reactions
4 Replies
47 Views
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma. Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
45 Reactions
286 Replies
8K Views
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF...
9 Reactions
143 Replies
5K Views
Ikitokea siku hapo ulipoajiriwa ukikosa kazi, Je una sehemu yoyote au mbinu yoyote ya haraka haraka unaweza tumia kuingiza pesa kwaajili ya mahitaji yako muhimu na ya msingi?
4 Reactions
13 Replies
239 Views
Naombeni kujuzwa ni kwanini waganga wa kienyeji wanazikwa wakiwa wamekaa kwenye kiti pia makaburi yao ni mviringo kama kisima, mwenye uelewa ni kwanini anijuze. Na je ikitokea amezikwa kawaida...
1 Reactions
22 Replies
399 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,044
Posts
49,649,817
Back
Top Bottom