Yaaa na hii imekua kubwa sana kwny miaka ya karibun maana zaman kdogo watu walikua wananunua jezi kishabiki ila sahv jezi zmekua km vazi la Mtoko ndo mana watu hawanunui sana kishabiki kikubwa uzuri wa jezi
Nini kinavaliwa sana mtaani ndo kinadetermine pia hata mahitaji ya jezi kwa ujumla, then jezi/product yyte kuuza sana tunaangalia kwny stage ya mwsho kabisa yani ya RETAILERS.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.