Daah pole ndugu upo kwenye janga kubwa mno ila wachache wanaweza kuona kama nimaigizo tuu haya.
Natamani kukupa ushauli ila muda unanibana sana.
Lakini tafakari sana huenda ushalishwa hadi limbwata.
Kwaushauli zaidi chukua namba hapo profile yangu.
FUMBO MFUMBIE MJINGA
LUKA 17:20-21
Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa au ule kule", kwamaana ufalme wa Mungu umo ndani yenu"
"Ufalme wa Mbinguni umo ndani yenu, yeyote...
KUNDALINI
"Ni Mfumo wa Mazoezi ya Asili na ya kiroho, mazoezi haya hujumuika kama njia ya kuongeza nishati iitwayo KUNDALINI
Wakati wa kufanya mazoezi haya unahitajika kufuata Mlolongo mkali uitwao KRIYA
Katika Nadharia na Mazoezi ya YOGA hili ni Jina la Nishati ambayo iko ndani ya...
🌳TUMESHINDWA KUUMILIKI ULIMWENGU WETU KWA KUUTAMANI ULIMWENGU WA HADITHI.🌳
Ulimwengu wa kweli umetengenezwa katika hadithi isiyo furahisha sana, unaonekana ni ulimwengu ulio jaa mateso ya kila namna, kisha Ulimwengu wa NADHARIA ndiyo umejaa raha za kila namna na umeitwa ulimwengu mpya...
Kwauhitajaji wa odds 1.30 kila siku iendayo kwamungu njoo tukae kiofisi lifanyike hilo.utaweza kuingiza zaidi ya elfu50 kwasiku.
Ila kosa kubwa nikutaka hela nyingi uwe tajiri haraka.bali utalidhika nahiyo hiyo faida tuu kila siku.
Ukiwa tayari chukua namba hapo profile picture.
Mambo au Tabia Zinazofanya Kufifisha au Kudhoofisha Malango Yako/Nishati ya Ndani
1. 😞😞 Uzinzi au Ngono Hulela
Ni vyema kuwa na mke/mume au mtu mmoja kwa nia ya mahusiano na sio kutangatanga. Mara leo uko huku, kesho kule, hapo utavaa karma nyingi ambazo hazikuhusu. Sio kila umuonae anakufaa...
KUACHILIA/KUSAMEHE.
Ni pale unapokuwa huru ndani mwako,
Jambo hili linatupoteza wengi sana ,na mwishowe tunarudi kuwalaumu wachawi Kwamba ndio wanaotukwamisha mambo yetu kumbe hiyo ni sumu uliyokaa nayo ndani mwako ndio tatizo la mafanikio yako.
Kuna mtu unakuta ametunza kinyongo, ametunza...
NIELEWE KWA MAKINI SANA.
Mungu wa Israel
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai.
Ukweli mchungu ni huu, pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu...
Hili somo linawahusu zaidi wale wanao pitia changamoto zakua na
kumbu kumbu ya ndoto wanazo ota usiku.
Namna ya kukumbuka ndoto.
Je unaota ndoto na unasahau?.
Fanya meditation ya Namba.
Watu wengi wamekuwa wakiota ndoto na pale wanapoaamka hawakumbuki walichoota.
Sasa unaweza kurudisha...
Maisha,kifo,pesa,kula kushiba,muda,kiama,maumivu,huzuni,hofu...nk..
Hivi vyote ni illusion tuu🤔🤔
Kuna siku ntakuja kutoa somo ila na amini wachache sana ndio watanielewa
Maisha,kifo,pesa,kula kushiba,muda,kiama,maumivu,huzuni,hofu...nk..
Hivi vyote ni illusion tuu🤔🤔
Kuna siku ntakuja kutoa somo ila na amini wachache sana ndio watanielewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.