UKweli mchungu, watajifanya hawajauona huu uzi.
Wapo wale watoka kazini saa 12... wanapita baa mpk usiku wa manane ndo wanarudi.
Nyumba zao wamegeuza mahali pa kubadilishia nguo...hlf wakistaafu wanataka familia iwe karibu nao.
Mama hana makosa....ni wewe kichwa maji umeshindwa kuwaaminish chanzo cha pesa zako
Unavyosema una mama mbaya unazidi kumkosea Muumba....angekuwa hakupendi angekuminya kwenye mapaja siku anakuzaa...
utalaanika wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.