Mmeanza kuchokonia ardhi. Nashauri vijana wenzangu ukipata hela popote pale buy some piece of land. Hii nchi kuna uwezekano 10years land ikawa haikamatiki
Wakati nasoma course za Mifugo. Tulikua na waisilamu ambao walikua wanaingia kwenye mabanda ya nguruwe+ tunashika nao nguruwe bila kelele.
Mwishowe nikaelewa ni perceptions tu zinatusumbua.
By the way. Unaweza kataa mtoto wako asishiriki hayo mafunzo
Kwa mjini. Unakuta watu wamekaa kwenye vile viti vya stand ambapo abiria wanatakiwa kukaa wakiwa wanasubiri usafiri.
Lakini tulitakiwa kua na open space kabisa. Mfano. Iringa katikati pale kuna ka open space, wanaitaje sijui tulikua tunaenda kukaa kipindi tunasoma Advance
Umeongea kitu cha maana kabisa.
Mm nimepanga single self. Nawaza hivi nikioa na niko humu. Siku nimegombana na Wife. Tunakaaje, maana haiwezekani mtu kakukera na kila ukigeuka unamuona [emoji16]
Space ni kitu cha muhimu sna kwangu. Nitaoa siku uchumi ukiruhusu kupanga nyumba nzima. Ili...
Sema mwanamke ni kama amefanya makusudi. Imagine watoto 3 [emoji16] Hyo ni kama miaka 15 hivi mda wote mchungaji anakula manzi yako.
Huenda walikua wanataka kuongeza wa nne
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.