Recent content by SteveMollel

  1. SteveMollel

    Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    Aliondoka kwa mujibu wa mkataba alopewa na jeshi la polisi. Huduma yake ilikuwa inatamatika April 6, 2021 hivyo asingeweza kuendelea.
  2. SteveMollel

    Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    wewe mkaidi sana.
  3. SteveMollel

    Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    Mkuu, kuwa serious basi. [emoji1]
  4. SteveMollel

    Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    shida hawa moderators mizinguo sana. Unajipinda kuandika, ukipost wanazuia thread. Ni very tiresome.
  5. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2218709/
  6. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    Nishautuma, kaka. Bila shaka umeuona.
  7. SteveMollel

    Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    Kuweka nyuzi jamii intelligence ni kama kuomba kazi Utumishi. Unapost then unakaa kungoja watakapojisikia.
  8. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2218709/
  9. SteveMollel

    Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021. Alipohojiwa, alisema kauli hii; "Mungu, wasaidie watu wale." Akimaanisha watu wa Msumbiji...
  10. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    Si utani, ndugu yangu.
  11. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    Waleykum Salaam.
  12. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    Usijali, mkuu. Nitakutag.
  13. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    Tungoje sehemu ya pili.
  14. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐€๐ง๐ฌ๐š๐ซ ๐š๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐š. - ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐‚๐š๐›๐จ ๐ƒ๐ž๐ฅ๐ ๐š๐๐จ. - ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐ฐ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ง๐ข. ๐’๐„๐‡๐„๐Œ๐” ๐˜๐€ ๐Ÿฌ๐Ÿญ: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Dkt. Stergomena Tax analiambia bunge kuwa hali ya usalama katika...
Back
Top Bottom