Recent content by Sikirimimimasikini

  1. S

    Kifaru cha T-90 ndio kifaru bora zaidi duniani

    Namna Leopard 2 tank zilivyosifiwa hapo kabla kuwa ni game changer kwenye vita ya Ukraine https://youtu.be/lAHonHTZ5AI?si=-d51uS_IhbqBsauA
  2. S

    Vifaru Abrams vya Marekani vyaondolewa vitani Ukraine baada ya kuchomwa mno na droni za Urusi

    Marekani yasema kuwa imekubaliana na Ukraine kuondoa vifaru vyake vya Abram kwenye uwanja wa vita na Urusi huko Ukraine. Uamuzi huo wa kuondoa vifaru hivyo vinavyodaiwa kuwa ni namba moja kwa ubora duniani na vilivyofanya vizuri kwenye vita ya Afghanistan dhidi ya wanamgambo wa kitalibani...
  3. S

    Iran yalidogesha shambulio la Israel, yasema droni zilizotumika ni kama "matoi"

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema uhusika wa Israel kwenye shambulio lililofanyika nchini Iran hivi karibuni ni jambo ambalo lahitaji kuthibitishwa. Waziri huyo akaendelea kuchambua kuwa silaha zilizotumika zinazodaiwa kuwa ni droni (tatu) kiuhalisia ni kama...
  4. S

    VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

    Hakuna haja ya 'Muajemi' kufanya mazoezi ya kivita...tayari alishauthibitishia Ulimwengu wote pasi na shaka yoyote namna alivyo njema na tayari kwenye majambo hayo. Alichokifanya Muajemi juzi kati kilishinda kiwango kilichotarajiwa (Biden mwenyewe alikiri hilo). Kwa sasa kila taifa linamuona...
  5. S

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Brigedia Generali Reem Aminoach wa Israel amekujibu hapa chini: https://www.jamiiforums.com/threads/israel-yalalamika-kuwa-shambulio-la-iran-limeigharimu-mno-israel-na-kuitia-hasara-kubwa.2204190/#post-49969666
  6. S

    Israel yalalamika kuwa shambulio la Iran limeigharimu mno Israel na kuitia hasara kubwa

    Afisa muandamizi wa jeshi la Israel Brigedia Generali Reem Aminoach amelalamika kuwa "Muajemi" kaiingiza Israel kwenye hasara kubwa mno kwa shambulio lake la jana usiku ambalo limeifanya Israel kutumia kati ya shekel bilioni 4 hadi 5 (zaidi ya USD bilioni 1) kwa usiku mmoja tu ktk kujilinda...
  7. S

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe. Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza. Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu...
  8. S

    Mkuu wa Kikundi cha Wagner Yevgeny Prigozhin, ametoa maoni yake juu ya mzizi wa matatizo nchini Niger

    Mabeberu yamezoea kupora sana maliasili za wanyonge, sasa yamenyang'anywa kwa nguvu kitoweo mdomoni. Ndio maana yanabwekabweka sasa.
  9. S

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Shikamoo Urusi... Mbinu zake za kujilinda dhidi ya Counter-offensive ni complex mno na hatari zaidi (kwa adui) kuwahi kushuhudiwa ktk vita zote zilizopiganwa kwenye dunia hii kwa karibu miaka 80 iliyopita
  10. S

    Zelensky akiri kuwa Counter offensive imefeli, ailaumu Urusi kwa kuifelisha Counter offensive

    Nahisi yule ni Robot, maana kila dakika anafungua nyuzi hata kama hana cha maana cha kuzungumza
  11. S

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    https://www.jamiiforums.com/threads/usa-yakiri-kuwa-urusi-imeshachoma-magarivita-34-ya-kimarekani-aina-ya-bradley-kwenye-counter-offensive.2118822/
  12. S

    USA yakiri kuwa Urusi imeshachoma magarivita 34 ya kimarekani aina ya Bradley kwenye Counter-offensive!

    Marekani yaripoti kuwa Urusi imeshayaangamiza jumla ya magarivita 34 ya Bradley kwenye Counter-offensive ya Ukraine iliyofeli vibaya mno. Idadi hiyo ni karibu theluthi moja ya magarivita ya aina hiyo yaliyopelekwa na Marekani nchini Ukraine kupambana na Urusi (magarivita yasiyopungua 100)...
  13. S

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    https://www.jamiiforums.com/threads/zelensky-akiri-kuwa-counter-offensive-imefeli-ailaumu-urusi-kwa-kuifelisha-counter-offensive.2118729/
  14. S

    Zelensky akiri kuwa Counter offensive imefeli, ailaumu Urusi kwa kuifelisha Counter offensive

    Uingereza yaripoti kuwa Zelensky amekiri kuwa Counter offensive imeshindwa kwenda kama walivyopanga. Zele adai sababu ni kuwa Urusi imetumia kila resource iliyo nayo kuzuia ufanisi wa Counter offensive ya Ukraine + Marekani + NATO. Kumbe ndo maana waUkraine wa Kibaigwa wamekuwa kimya kwa muda...
  15. S

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Counter offensive ya Zele iliyoratibiwa kwa miezi kibao na US + NATO + Ukraine na kupigiwa 'promo' kila kona ya dunia hatimae imebuma... kila wanalojaribu linafeli! Shikamoo Urusi! Nchi moja yazitoa kamasi zaidi ya nchi 30 ikiwemo Marekani!
Back
Top Bottom