kwani tuliombwa tusaidiwe?, au tuliombwa tuheshimishwe kwa watoto waliozaliwa nje?, mbon mnajipa ujuaji mwingi wakati hatujakubaliana?, sasa hao watoto wa nje kwanini wadipelekwe kwa baba yao mzazi?, alafu unaniletea mimi niwalee?, dadeq.
🚨 Imebainika kuwa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria 🇳🇬 Kayode Olarenwaju watoto watatu ambao ilisemekana ni wake yeye na mke wake,kipimo Cha DNA kimethibitisha kuwa sio watoto wake wote hao wala hawaendani kwa damu.
Kwa mujibu wa taarifa za mfanano ni kuwa watoto hao wanaelezwa kuwa wa...
Tangulini mtu anaesimama katika unyoofu wa ki MUNGU na mtu aliesimama katika unyoofu wa kishetani wakawa pamoja,
Aisee vijana tujionee huruma sana wanawake wakuwa wake hakuna tena dunia ya sasa, zalisha then baki kulea mtoto ,ule bata tu ( ke + ndoa ) PIGENI CHINI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.