tatizo lako unadate na wanawake waliovurugwa na situation za maisha, mathalani wale wa over 30 na hawajaolewa na hawana mwelekeo wa maisha, masingle mother n.k....
Ni kweli mkuu ukitokea unataka kuoa sehem ambayo ni mgeni jichanganye na wahuni (benchi la ufundi) wa maeneo husika wakupe abc za unayetaka kumuoa, ukijumix ukaenda kichwakichwa unaweza angukia pua.
Mkuu upo sahihi 100% polisi sio kabisa yaani. Kuna mwanangu alikua na rafiki polisi wakikutana sehem za starehe anampiga ofa za kutosha, mishemishe kitaa wapo pamoja ila siku mwana alipopata msala the same polisi akamshushia vioo akamtreat kama total stranger ambae hata hawajawahi kujuana...
Ja melody hajawa hyped vya kutosha ila ni bonge la talent. Mond kama sio kuogopa kufunikwa angemsign Jay kuliko kale kajamaa alikokaokota sijui wapi huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.