Recent content by ozigizaga

  1. ozigizaga

    Wakinga wanatakiwa wabadilike sana ili kufikia level za wachaga

    kwani Vunjabei ni kabila gani mkuu?
  2. ozigizaga

    Tuwekee hapa majina ya pombe za asili unazozijua

    kimpumu kyindi Dadii komoni nzuga
  3. ozigizaga

    Historia ya Wanyakyusa kufahamika zaidi kuliko Wasafwa ambao ni wazawa halisi wa Jiji la Mbeya

    kwenye samaki wabichi (cabbage) ni simwambwe mkuu na sio isyonje
  4. ozigizaga

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    nafikiri umechanganya mkuu, Nambendo ipo mbele ya ndongosi wakati magwamila ipo muhukuru. ila vyote ni vijiji vipo chaka sijapata kuona na mvua zikinyesha huko huwa hakuendeki mpaka kukauke
  5. ozigizaga

    Naomba kujua riba inayochajiwa na NMB Pesa fasta

    kama unadaiwa na mitandao ya simu na haujalipa kwa wakati basi sahau huo mkopo wa NMB
  6. ozigizaga

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    mambo ya kawaida sana hayo kwa chuma ya singapore.. pole zake
  7. ozigizaga

    Gari aina ya IST new model 5.5million tu

    nimeshindwa kuaattach hapa ila kuna sehemu wamepost hii gari ni 13Mln mkuu
  8. ozigizaga

    Gari aina ya IST new model 5.5million tu

    kama gari ni halali, haina changamoto kubwa na ina document genuine basi haifiki asubuhi itakuwa ishapata mteja.
  9. ozigizaga

    Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    hahahahaha... lazima aonyeshe gamba kuwa ameishi hapo Cairo
  10. ozigizaga

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    achana nayo mkuu.. shuhuda hapa wa gari za Singapore. ilikuwa subaru ilisumbua hakuna rangi niliacha kuona.
Back
Top Bottom