Recent content by Mzee Mwanakijiji

  1. Mzee Mwanakijiji

    SoC04 A Concept Paper on the Establishment of Medical Train Services in Tanzania by 2027

    Kuna namna mbalimbali. Mwanzoni ni ushirikiano Kati ya Wizara za Ujenzi na Afya katika kuandaa mabehewa hayo ya tiba. Uendeshaji wake utafanywa na Afya kwa kubadilishabadilisha madaktari na wauguzi katika mazingira ya kawaida. Wakati wa dharura (janga kubwa kama ajali, mafuriko, tetemeko la...
  2. Mzee Mwanakijiji

    SoC04 A Concept Paper on the Establishment of Medical Train Services in Tanzania by 2027

    Swali ni Je SGR na njia yake ni bora zaidi au mradi kama huu ufanyike kupitia reli ya Kati ambayo tayari ina mtandao mkubwa lakini ina changamoto ya umeme wa kuaminika?
  3. Mzee Mwanakijiji

    SoC04 A Concept Paper on the Establishment of Medical Train Services in Tanzania by 2027

    Makisio yanaweza kubadilika baada ya upembuzi yakinifu.
  4. Mzee Mwanakijiji

    SoC04 A Concept Paper on the Establishment of Medical Train Services in Tanzania by 2027

    M. M. Mwanakijiji UANZISHAJI WA TRENI YA KITABIBU IFIKAPO 2027 Introduction: Tanzania, like many developing countries, faces significant challenges in providing adequate healthcare services to its population, particularly in remote and inaccessible areas. In response to this need, we propose...
  5. Mzee Mwanakijiji

    Mbunge Mohammed Issa aliyesema yeye si Mtanzania, kwanini bado yupo Bungeni?

    Halafu hakuna mtu wa kutaka mwongozo wa Spika..alipoapa Kuingia Bungeni aliapa kama na nani?
  6. Mzee Mwanakijiji

    Kikwete kairudisha Tanganyika!! next...?

    Kuna clip moja inasambaa mitandaoni ya Jaji Warioba..imenikumbusha hii mada.
  7. Mzee Mwanakijiji

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Naona Ngosha Mayala ameona na ukweli huu pia...
  8. Mzee Mwanakijiji

    Chatanda apokea vyerehani 125 kutoka Ubalozi wa China, kuimarisha uchumi wa wanawake nchini

    Kama siyo wazimu huu ni nini? Yaani, kama taifa mnasimama na kupiga makofi kwa kupewa misaada ya cherehani. Kama Wachina wameamua kutoa msaada kusaidia wanawake; kwanini wasiamue kujenga high school za wasichana za kisasa mbili ambazo zitawanufaisha zaidi ya watoto 125? Misaada mingine ni ya...
  9. Mzee Mwanakijiji

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Vitu vingine huwezi kuwauliza watu... swali kama hili ukiuliza kwa siri jibu mbona halifichiki
  10. Mzee Mwanakijiji

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Aisee..watu wasije kuanza ku google....tumetoka mbali
  11. Mzee Mwanakijiji

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Acheni utani jamani..si wangepita magerezani kwanza....
Back
Top Bottom