Recent content by Mnachihanguuu

  1. Mnachihanguuu

    WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Mkuu biashara ya nguo mbona huwa naona kama watu wanapiga nayo picha tu kariakoo?
  2. Mnachihanguuu

    Shemeji anaevaa Bukta ya kuchezea Mpira na umaskini

    Kiukweli sijawahi kuvaa boksa mimi navaa bukta za timu mbalimbali
  3. Mnachihanguuu

    Ilikuaje ukapata Gono mara ya kwanza? Je, aliekuambukiza ulimdhania anaweza kuumwa ugonjwa huo?

    Alinipa binti mmoja alikuwa mwanafunzi shule ya sekondari aquinas mjini mtwara na nilipomwambia alibisha sana akadai mimi ni malaya na wakati huo mkewangu alikuwa mjamzito sasa sijui ingekuwaje kama ningesex na wife
  4. Mnachihanguuu

    Kwa nini rais hajakemea USHOGA, badala yake anasema maadili?

    Kwenye familia yenu yupo shoga?
  5. Mnachihanguuu

    DOKEZO Kuna utoroshaji Madini huko Lemshuku, Manyara

    Someni kitabu cha Mathayo 11:16-19
  6. Mnachihanguuu

    Kwanini Yesu Kristo hakuoa, hakuwa na mwanafunzi wa kike, pia Yesu hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Kuna nini nyuma ya pazia ?

    Kwahiyo na Adam nae ni Mungu kwasababu yeye ndie hata kukaa kwenye tumbo la mwanamke hakukaa?
  7. Mnachihanguuu

    Mabilioni yaliyofichwa na Hayati Magufuli kwake Chato, serikali ilikaa kimya?!

    Yaleyale ya chadema kuwaaminisha watu kuwa rizione alikamatwa na dawa za kulevya china
  8. Mnachihanguuu

    Nisamehe Rais wangu Magufuli

    ni ngumu sana wewe kutoa ufafanuzi kuhusu hilo
  9. Mnachihanguuu

    Nisamehe Rais wangu Magufuli

    ni ngumu sana wewe kutoa ufafanuzi kuhusu hilo
  10. Mnachihanguuu

    Nisamehe Rais wangu Magufuli

    Kwamba wewe una akili sana kuwazidi watu wote wanautumia Facebook? Wewe ni mwehu kuliko huyo
  11. Mnachihanguuu

    Nisamehe Rais wangu Magufuli

    Sikuwa namkubali magufuli ila hizo stori ni za uongo
  12. Mnachihanguuu

    Nisamehe Rais wangu Magufuli

    Kweli mkuu waliongea hivyo kuwa anaogopa kuja dar?
Back
Top Bottom