Recent content by makaveli10

  1. makaveli10

    Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Dah, kmmke walai, ama kweli nimezeeka, kweli ilikuwa mwaka juzi 😂
  2. makaveli10

    Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

    Tupo hapa wenye sura zentu PASONO... Kikubwa tunapumua tu, hongereni nyie maHENDISAM.
  3. makaveli10

    Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Jamani, basi kina marry mlokole.😂
  4. makaveli10

    Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

    Mtongoze mama mkwe. Narudia tena mtongoze mama mkwe, muhonge muhonge hela, akisema vipi mwambie unaona pesa isizunguruke kwa binti ndio aipate, hizo anazotaka we uchunwe apate direct.
  5. makaveli10

    Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Basi kwa niaba ya wanawake wenzako, mie nawataka radhi, kina latifa popote kambi, ashura nchokonoe, happy miuno ya paka chongo na wengine woote, mnisamehe. 😂🤣
  6. makaveli10

    Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Kwa kupenda kujikweza, haya hiyo 21 umefikisha lini bwana mdogo, wewe niliona nida yako, ndio kwanza una 19.
  7. makaveli10

    Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Kwani we ni agness kichupi mkononi, 😂😂 jibu sio, sasa shida nini 😂🤣
  8. makaveli10

    Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Mwajuma ndala ndefu, hapo hujakutana na shosti zake asha ngedere, agness kichupi mkononi,
  9. makaveli10

    Waziri wa Fedha: Serikali iko mbioni kupendendekeza chanzo kipya cha mapato kupata fedha za Wizara ya ujenzi kutatua dharura

    Nchi hii, na hivi wanajua kama sisi WADANGANYIKA mapoyoyo ni wengi, wanajifanyia wajisikiavyo, mtu wa chini ndio hali inazidi kuwa tete.
Back
Top Bottom