Mtongoze mama mkwe. Narudia tena mtongoze mama mkwe, muhonge muhonge hela, akisema vipi mwambie unaona pesa isizunguruke kwa binti ndio aipate, hizo anazotaka we uchunwe apate direct.
Basi kwa niaba ya wanawake wenzako, mie nawataka radhi, kina latifa popote kambi, ashura nchokonoe, happy miuno ya paka chongo na wengine woote, mnisamehe. 😂🤣
Maelezo bado hayajamaliza utata
Wiki 1 nyuma jamaa yangu kanisimulia, alipigwa cheti kisha akalipa, baada ya wiki kadhaa akadakwa, anaambiwa anadaiwa, jamaa akasema mbona kalipa, akawaonesha na meseji, polisi nao wakamuonesha kuwa hakijalipwa, ukitizama kwao bado deni, huku kalipa na control...
We tumia pesa, uweke unamuwekea nani?
Hapo naona huna matumizi mabaya, kula vizuri lala vizuri, usijibane bane, kinachobaki ndio ufikirie mengine, maisha mafupi haya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.