Recent content by mahonyo jr

  1. mahonyo jr

    Wanaume wenye watoto tupeni uzoefu wenu. Mara ya kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua, hiyo siku ilikuwaje?

    Sku naambiwa hongera Sasa unaitwa baba kwa njian ya sms , ilikua niko first year nko kwenye kipind Cha medical psychology hakika kile kipind sikukielewa nikaamua nikalale kwanza hostel nilijawa na wenge la hatari
  2. mahonyo jr

    Ajira za polisi kwa wenye fani hivi salary scale zao zinaendaje?

    Mshahara unalipwa kutokana na cheo chako + professional allowance
  3. mahonyo jr

    MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

    UDOM ndo chuo pekee kinachopeleka wanafunzi wake clinical area kwa mwaka mzima , DRs na Nurses, that is why they have a lot of exposure, hivyo experience wanapata za kutosha
  4. mahonyo jr

    MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

    Ungekutana na products ya intern Nurses na intern DRs kutoka UDOM , ungeiweka UDOM ya kwanza ,they have a lot of exposure in clinical setting and a lot of confidence 💪💪💪 UDOM is the best in Tz kwa course za afya
  5. mahonyo jr

    Naomba kujuzwa bei ya cherehani

    Pia nitafuatilia Raha Leo mkuu naona itakua nzur zaid hio
  6. mahonyo jr

    Naomba kujuzwa bei ya cherehani

    Ahsante mkuu itakua vzr, mtu waifuatulia dar ninae , nikijua Bei na duka inakopatikana 🙏
  7. mahonyo jr

    Naomba kujuzwa bei ya cherehani

    Tanga mjini
  8. mahonyo jr

    Naomba kujuzwa bei ya cherehani

    Habarini, Naomba kujuzwa Bei ya cherehani, butterfly kwa Dar
Back
Top Bottom