Nilifuta second space vipi kuna njia ya Kurejesha au ndio basi maana awali nilikua kama natumia simu mbili lakini bahati mbaya sehemu ya pili nilifuta.. Simu yangu ni redmi S10
Soma kwanza uelewe maelezo yake mie naona huenda umekimbilia kumjibu bila kumuelewa, we unashangaa mteja kutaka kuchukua kiloba kwa milioni 18? Lakini mwenyewe alijua atapata zaidi lakini akiambulia gm28 kwani tatizo nini kwenye biashara ya madini au hujui biashara ya madini ni kamari? Kuna...
Inaonekana hujui vizuri hii biashara ya madini, ngoja nikupe mwanga kidogo sababu mie nimezaliwa chimbo na hatujui kingine zaidi ya dhahabu. Machimboni maabara ya kwanza hufanywa na Mchimbaji mwenye yaani kupiga chabo kwa maji na kuangalia kiasi cha dhahabu na kujiridhisha kulingana na tathimini...
Kwanza hata mie najilaumu sana kwanini niliacha kazi na kuamua kurudi shule? Hakika katika mambo nilifanya ya hivyo ni hili la kuamua kurudi darasani et kutafuta makaratasi tu na ajabu baada ya kurudi nakuta nilowaacha wako vizuri kimaisha sana inaniuma sana sijui hata makaratasi yatakuwa hela...
Duh! pole sana hivi unajua hata hii elimu tunayoisoma walioleta hawakuwa na hii mambo unayoona ya maana? Watu walioleta hii elimu hawakusoma pahala popote mbali walikua na akili tu hivyo kumbuka ndugu kuna tofauti kati ya kusoma na akili, maana mtu anaweza kuwa kasoma sana tu lakini akakosa...
Uko sawa kabisa mie nakumbuka nilipohitimu kidato cha sita nilibahatika kupata ajira Mgodini kampuni kubwa tu hapa Tanzania, niliingia kama mine trainees ( Mchimbaji mwanafunzi) nilikaa kwenye hiyo kazi mda tu huku najipanga kurudi shule siku moja nikaona tangazo la kazi humo ndani ya kampuni...
Hata hivyo walimsaidia kama bado yupo kazini huyo jamaa yako, kawaida pahala popote kiwandani si ruhusa kuendesha mtambo wowote bila kibali cha kuendesha huo mtambo adhabu yake ni kufukuzwa kazi bila mashauriano yoyote na kama na huyo Dereva alimruhusu huyo jamaa yako wote lazima waondoke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.