Recent content by kipumbwi

  1. K

    Yemen yatungua ndege jeshi ya 6 ya jeshi la USA- tazama ilivyoitungua!!

    Middle East Taifa lenye nguvu za kijeshi na ambalo linaogopewa ni Iran pekee! Kwa kutambua nguvu zao ndio maana tangu late 70 walipigwa vikwazo baada ya Ayatollah kumpindua kibaraka Mfalme Shaha,bahati mbaya sana pamoja na vikwazo,Irani chini ya utawala wa Ayatollah imezidi kua na nguvu zake...
  2. K

    Yemen yatungua ndege jeshi ya 6 ya jeshi la USA- tazama ilivyoitungua!!

    Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln. Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga komborq ikiwa umbali wa zaidi ya 10km angani nimeambatanisha.
  3. K

    Natafuta Mume Muislam

    Mkuu huu ni wivu ama?!! Ratio ya wanawake na wanaume si unaijua duniani?!!
  4. K

    Natafuta Mume Muislam

    Waridi88 kw intro tu nimependa ulivyo mkweli kwani Id name yako inaukweli wa jina lako na umri wako kwa mwaka uliozaliwa. Ikitokea nafasi ya kua mke wa pili nijuze kwani nimeoa na nina watoto watatu,kwa hiyo ukiwa mke mwenza naongeza mtoto mmoja tu kwako basi!! Mungu akujaalie hitaji la moyo...
  5. K

    Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita. Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
  6. K

    Lengo la Lissu ni kuua ndege wawili kwa wakati mmoja. Wenye akili tumemuelewa, ila wasio na akili hawajamuelewa

    Mwezi huu Lumumba lazima posho zipandishwe!! Makame Mbarawa ni mzanzibari,inakuaje anaongoza wizara ya ujenzi na uchukuzi wakati sio mambo ya Muungano?!! Mtu asie Shaka ni DC huku Bara ilihali mzanzibari,Watanganyika wamekwisha?!! Zanzibar Mtanganyika haruhusiwa hata kua Diwani wala kupiga...
  7. K

    Huyu Dogo naye rasmi kwa wajenzi huru!

    Duh, kudadadadekii !
  8. K

    Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

    Anasubiria mwakani kwenye May Mosi kutoa rushwa ya uchaguzi na kufanya propaganda ya kura
  9. K

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Na je wanawake mkipigwa deki mna enjoy?!! Kama kitu hukifurahii kwneye mapenzi,upo tayari kukifanya kwa ajili ya kumfurahisha mwenza tu?!!
  10. K

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Kwa hiyo bila ya kuwaza hivyo unapenda kutuma Salam studio?!!
  11. K

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Hakika,ni yeye na ameingia na jeshi Zima,vyombo vyetu vya ulinzi sivioni hapo!!
  12. K

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Binafsi wife kashawahigi huko nyuma kutaka kunyonya, kiukweli nilimuzuia kidizaini fulani then nikashika hatamu na kumpa hukumu ya haki yake. Kwangu binafsi naona ni utumwa kwa kweli na mara nyingi wanawake huridhia kwa ajili ya kumgurahisha mwanaume. Kwa sasa na na hali hizi za UTI ndio...
  13. K

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Ushauri wako kwa Taifa na vizazi vijavyo ni upi?!!!
Back
Top Bottom