Recent content by El Roi

  1. El Roi

    Jiji ni barabara nzuri, nje ya hapo ni vijiji

    Najua kwa hakika kabisa kwamba, kupanda hadhi kwa maeneo, mfano mji kuwa manispaa na manispaa kuwa Jiji Kuna vigezo vyake. Mfano , idadi ya watu, Pato la eneo husika, na sababu nyingine nyingi za kisiasa ambazo sijui kwa hakika zinaingiaje kwenye kupandisha eneo hadhi. Sababu zao zinaweza kuwa...
  2. El Roi

    Siasa za wastani za Zitto Kabwe, ni tishio kwa ustawi wa ACT Wazalendo

    Kuna usemi usemao" usilizunguke bomu, bali pita katikati yake mapema ili lilipuke mapema wakati huo, kukusaidia lisije kuangamiza watu wengi zaidi baadae ambao hawataliona iwapo litalipuka" Maana ya usemi huo ni katika kusaidia kujenga dhana tu kwamba" usikwepe kushughulikia tatizo unaloliona...
  3. El Roi

    SACP. Ramadhan Nga'nzi: Msako utaanza kuwakamata waliokiuka agizo la kuondoa namba za 3D

    Kukusaidia tu kwenye title hapo juu, Ramadhani Ng'azi siyo SACP Tena amepanda cheo karibuni Sasa ni DCP au ukipenda, Deputy commissioner of police badala ya alivyokuwa hapa nyuma kidogo " senior assistant commissioner of police" au SACP. Mpe haki yake huyu jamaa.
  4. El Roi

    UVCCM, tafadhali, jifunzeni siasa na muwe wastaarabu

    Who are these UVCCM Mr syllogist? Are they constitutional law enforcers to combating of crimes, suppose there is any? Do the powers you assume to be upon them, enshrined in any of our law books? Let me keep my reservations, however, the real problem vests in the so called " power arrogance"...
  5. El Roi

    UVCCM, tafadhali, jifunzeni siasa na muwe wastaarabu

    Kuna chapisho langu Moja niliwahi kuhoji kwa Nini vijana wa CCM ni washari na Wana ujasiri uliopitiliza ( over confidence). Kwa sababu ya yanayoendelea chini ya kapeti naomba kushauri ngazi za juu za CCM kuchunguza mienendo ya vijana wao, maana it is too much now. Nimesema ngazi za juu kwa...
  6. El Roi

    Wanachama 381 wa CHADEMA Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za CHADEMA kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita

    It is basically so disappointing though not practically. practically saying, it has shown how fragile humans are to matters betrayal, inconsistency, hypocrisy, and of course slaves of hand to mouth activism . Upendo peneza and the likes of covid 19, if at all are in their own senses, have to...
  7. El Roi

    Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

    Watu wanaosoma shuleni kwamba Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 na Zanzibar ikapata uhuru mwaka 1964. Wataelewa Nini nje ya kuimba Kila wanachoambiwa?
  8. El Roi

    Jakaya Mrisho Kikwete, My favourite president!

    No, thank you sir
  9. El Roi

    Jakaya Mrisho Kikwete, My favourite president!

    Bila shaka unataka kumsema Mkapa..kwa kumbukumbu zangu mauaji ya wazanzibar kule Pemba, ulikuwa wakati wa Mkapa. Angalia vizuri diary yako.
  10. El Roi

    Jakaya Mrisho Kikwete, My favourite president!

    Ni jambo la kushukuru Mungu kwamba, binafsi nimeishi wakati wa Marais wote walioitawala nchi hii. Nimeanza na Mwl na Sasa Samia suluhu Hassani. Ukweli usemwe, Jm Kikwete looks the best president this country has ever had. Namiss, uwazi wake serikalini katika kuendesha mambo, Uungwana wake na...
  11. El Roi

    Kongole Spika Dkt. Tulia kwenye Sheria umeiva

    Acheni kusifia watu wasio waadilifu. Uadilifu ndo usomi in action mengine ni mbwembwe tu. Mbona msomi kashindwa kutafsiri amri ya mahakama which is so simple, kuwatoa COVID 19, bungeni? Hatutaki usomi wa ki interest , tunataka uadilifu wa kisomi.
  12. El Roi

    Tuseme ukweli madam Tulia Ackson ni kichwa sana

    Kama ni kichwa hivyo, anashindwaje kutekeleza amri ya mahakama kuwatoa COVID 19 bungeni? We want integrity oriented people, and not interest oriented , the likes of Tulia and Job Ndugai, the former speaker!
  13. El Roi

    Meja Jenerali Gaguti amechangia hotuba ya CDF Mkunda kuhusu wakimbizi kuteuliwa Serikalini?

    Ndo huyohuyo, Wala usiwe na shaka. Uko sawa kabisa
  14. El Roi

    Tunahitaji akili ya kisasa Ili kuendesha nchi kisasa.

    Kuna msemo wa kiingereza usemao " familiarity breeds contempt". Ukiwa na maana mazoea huleta dharau. Ninasikitishwa sana na watu tunaowaamini na tuliowaweka mbele kama as a drive katika uendeshaji wa nchi. Hivi Leo ukienda serikalini, mahakama na hata bungeni, hivi kweli waliopewa dhamana ya...
  15. El Roi

    Swali kwa CCM: Steven Wasira njoo unijibu

    Wassira, Mimi humuita Mr status quo. Hana jipya la maendeleo ya nchi. Ni kukariri tu mambo na historia zisizosaidia nchi wakati huu
Back
Top Bottom