Akishinda sisi tunapata nini? Apambane na hali yake aombe mwenyewe na familia yakee na wale wanaonufaika nae .Mm nafamilia yangu tunapata nini kutoka kwa Tulia? ,omba wewe mnufaika.
Habari wanajamvi, mimi ndugu yenu nimeajiriwa nipo serikalini na huu mwaka wa 13 lakini kila nikijiangalia kuaga umaskini naona ni kitendawili kigumu kwelikweli.
Sasa hivi nina miaka 39 na kila ninaoshauriana nao au kusoma comments za watu kabisaaaa ndoo zinanikatisha tamaa. Maana wengi...
Waungwana habari za asbh,
Naomba kujua kama kuna mtu amewahi kukopa mkopo kutoka Cash X ambayo ni application iliyopo on line.
Naomba kujua kwnye interest zao zinakuaje na sio wahuni kama wahuni wengne wanavyofanya kuwatapeli watu? Ni hayo tu waungwana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.