JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu nataka kuagiza Gari SUV Japan. Katika kuperuzi nimeangukia katika Gari hizo 2 naombeni ushauri wenu Isuzu Bighorn (Diesel 3000cc) vs SUZUKI GRAND ESCUDO (Petrol 2730cc). Nichukue ipi...
12 Reactions
181 Replies
20K Views
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
10 Reactions
106 Replies
11K Views
Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward. Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua. Gari ya kazi...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Siku hizi magari yamekuwa bidhaa iliyozagaa kama Madera pale Kariakoo. Kuna gari yard.. Kuna za minada.. Kuna za mikononi.. Gari za mikononi ni pendwa kutokana na bei yake kupoa kidogo.. Ingawa...
36 Reactions
106 Replies
20K Views
Kuunda boat ndogo ni rahisi utengeneza body , unaweka injini na vifaa vingine vya elektroniki, na inaweza kwenda kwenye trela ili kusafirishwa popote. Mchakato wote unaweza kudumu kwa miezi...
1 Reactions
1 Replies
152 Views
Shwari? Ushawahi kuazimisha gari kumbe limerudishwa na deni bila kujua? Au umefika muda wa kulipa bima ushasahau? Basi tukumbushane: Kuangalia Deni la Trafick: TMS CHECK Kuangalia Bima ya...
4 Reactions
2 Replies
201 Views
Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Toyota Raum ni gari dogo lililotengenezwa na kampuni ya Toyota na kuuzwa kwenye soko la ndani la Japan (JDM) kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2011 ambapo uzalishaji wake ulisitishwa rasmi. Gari hili...
9 Reactions
18 Replies
17K Views
Baharia (Seafare) ni mfanyakazi yeyote katika meli. Katika meli kuna mabaharia ambao ni maofisa (Officers) na ambao si maofisa(Crew). Meli ina idara kuu 3 kulingana na mgawanyo wa majukumu na...
17 Reactions
117 Replies
24K Views
Wakuu.... Hizo features zipo kwenye Subaru forester huwa zinanichanganya kujua Zinatumika wakati gani.. Sport mode naijua vizuri maana hata kwenye Rumion yangu naitumia, ila kwenye Subaru...
2 Reactions
15 Replies
467 Views
Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
UAE pekee wanapokea watalii zaidi ya 30m kwa mwaka na hawanaga jambo dogo. Utalii kwao umechagizwa na Emirates airlines. Fikiria safari ya Dakika 45 (Dubai to Manama/Bahrain) wanarusha mzinga wa...
13 Reactions
70 Replies
6K Views
Wakuu ni kara ya pili sasa inanitokea, Mara ya kwanza nilipeleka gari yangu ikiwa mpya, kwa kuwaamini madogo kwa kuwa ndo car wash pekee iliyopo mtaani, nikaiacha gari nikaifata baada ya masaa 2...
9 Reactions
35 Replies
4K Views
Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
2 Reactions
19 Replies
890 Views
Habari wadau wa agari, nina milion 9 cash nahitaji toyota premio used ianze namba DF kuendelea mbele iwe haijwah kupata ajali kabisaa iwe haijawah kurudiwa rangi kabisaa hata bampa yaan! Lakini...
1 Reactions
6 Replies
299 Views
Salaam wanafamilia, Naonaga mara nyingi dereva akibadili gear kwenye lorry kuna mlio wa gesi kuwa released kama sauti inayotoka akiapply brakes,, naomba kufahamu kama kuna uhusiano wowote wa gear...
2 Reactions
4 Replies
138 Views
Habari zenu wana JF. Nahitaji badilisha rim za kwenye gari yangu zilokuja from Japan na kuweka hizi alloy wheels or sport rims. Gari yangu ni porte na huwa nasafiri kwenda mkoa mara moja or...
2 Reactions
7 Replies
449 Views
Habari za muda huu nilikua naomba msaada jinsi ya kubadilisha redio ya gari kutoka lugha ya kijapani kuja kingereza!
1 Reactions
9 Replies
346 Views
Kama wewe ni moja ya wale wanaopenda walahu kujua kwa mwonekano baadhi ya vipuri vya magari hasa katika engine ambapo wengi wetu tumekuwa tukisumbuana na mafundi wanapotuelezea vifaa vipi vimeisha...
1 Reactions
14 Replies
587 Views
Back
Top Bottom