Zuio la Uchaguzi Meya wa Dar Lageuka Kaa la Moto, Aliyelisoma asema Hakujua kama ni halali au feki

Kwa kauli hiyo tu ya Mwanasheria wa jiji ilitakiwa avuliwe wadhifa wake kwa sababu ameshindwa kuitetea taaluma yake anaonekana ana mapungufu makubwa na ameshindwa kufanya kazi zake kiweledi.
 
Kama Walioweka Hilo Zuio La 5Feb.16 Na Kushindwa Kufika Mahakamani Mara 2, Hadi Mahakama Ikafuta Hilo Zuio, Je, Ilikuwaje Wajumbe Hao Nao Wakubali Lile Ni Zuio Halali, Wkt Hata Mahakamani Wameshindwa Kuhudhuria, Kwani Huyo Saad Khimji Ni Diwani Wa Kata Ya Ilala Na Mwenzie Wa Viti Maalum!! POLISI Wangeanza Na Hao Kwanza, Wakamkamata Huyo Naibu Mkurugenzi, Mwanasheria Wa Jiji Na Mkoa, Wakawahoji Na Kuwapeleka Mahakamani, Kwa Mashitaka Ya Uzembe Na Matumizi Mabaya Ya Madaraka Yao, Na Kupelekea UVUNJIFU Wa AMANI!!!
 
Back
Top Bottom