hivi hawa jamaa wanafanya haya kwa amri ya nani?Sasa swala la uchaguzi na kumsachi mtu nyumbani kwake wewe linaingia akilini mwako...
unajua polisi anaweza kuamrishwa hata na katibu kata .hivi hawa jamaa wanafanya haya kwa amri ya nani?
ilimradi awe CCM tu..au sio?unajua polisi anaweza kuamrishwa hata na katibu kata .
ccm inatia aibu .Mkuu angekuwa Chadema amefoji ile barua unadhani nini kingetokea? sasa anzia hapo kuwa wanafanya hayo kwa amri ya nani hivi unqjua wizara hiyo iko chini ya nani...
Inakera na kuumiza sana inakupa nafasi ya kuwaza mbadala...Kwenye nchi nyingi za Afrika democracy ni zero kabisa nikifikiri Dr.Kizza Besigye alivyodhalilishwa juzi akavunjiwa vioo vya gari yake nakumwagiwa maji ya kuwasha, Waanga wengi wa vyama vya upinzani kutoka hapa nchini wengine hadi wakapoteza uhai,Prof;Lipumba alivyopigwa na kurushiwa kwenye PT kama kibaka, Leo hii viongozi wa ukawa kusachiwa bila sababu yeyote ile na usishangae wakabambikiwa na kesi...
Mkuu angekuwa Chadema amefoji ile barua unadhani nini kingetokea? sasa anzia hapo kuwa wanafanya hayo kwa amri ya nani hivi unqjua wizara hiyo iko chini ya nani...
hivi hawa jamaa wanafanya haya kwa amri ya nani?