Zitto ulitaka bunge limchague Masha, umesahau haya maneno yako!

Unafiki unaruhusiwa kwenye siasa!

Mmesahau yaliyosemwa na Lema kuhusu Lowassa?

Au mnadhani Lowassa angekuwa mgombea wa CCM ile 2015 hawa ambao leo wanamuunga mkono wangemuunga mkono wakati huo?

naona wamepiga kufuri mkuu! tukutane panapo majaariwa Mara utakapotoka kifungoni
 
Back
Top Bottom