Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,158
- 4,448
Umenikumbusha ubaguzi wa Mheshimiwa kwamba baadhi ya watu wanywe pombe wengine wasinywe. anataka Bar zifunguliwe jioni ili mchana watu wafanye kazi, akimaanisha bia ni kwa ajiri ya wanaofanya kazi asubuhi na kutoka jioni, akisahau kabisa kuna watu kibao wanafanya kazi kwa shift ambao huingia kazini usiku na na wangependa wanywe pombe asubuhi, au vipi kuhusu walinzi walio wengi wanatoka majumbani saa kumi kuanza safari ya kwenda kazini hiyo ndiyo mpaka kesho tena, mda wake wa kuwa free pombe haziruhusiwi kunywewaBia utakunywa saa ngapi? Japo kwa kuwanunulia bia utakuwa umechangia kodi, swali ni je, unakumbuka muda wa baa
kufunguliwa na kufungwa lakini?