Katika Jimbo la Kigoma mjini ambapo Zitto Kabwe ndio muwakilishi wa Jimbo hilo Bungeni, wananchi wamekuwa wakilalama na kumlalamikia mbunge wao kuwa hana msaada kwao zaidi ya kuwalaghai.
Wanakigoma wanalalamikia maji, umeme na miundombinu mibovu huku Zitto akiwa jijini Dar es Salaam ambako huko hakutani na madhila hayo.