Kupitia ukurasa wake wa Instagram Zitto Kabwe amepost logo ya ACT-Wazalendo na kuandia ushairi huu;
"Huzuni imenijaa
Machoji yamejaa
Moyoni kumepwaa
Kukuacha hatimaye
"Mlongo umenifaa
Umekuwa kifaa
Umenipa shifaa
Kukuacha mtihani
"Kubidi imebidi
Tukulie idi
Kavazini akidi
Kwaheri mpenzi
"Ulipepea ukiringa
Haidhuru changamoto
Visa hatusemi
Kamwe hukuguna
"Tunakupenda
Pumzika
Tutakukumbuka"
Wanabadili logo au ndio anakiaga chama? Au ndio kiki zimeanza na kwenye Siasa ili watrend?
Update
Ni kiki bwana😂, alikuwa anatambulisha logo mpya! Kwahiyo ndio Zitto kafikia huku? Kurembea na kiki?🤔