Zitto Kabwe: Nimepata kitu juu ya mahakama na kesi ya Mbowe

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Nimetambua ( taken note ) uamuzi wa mahakama kuzuia amri ya kukamatwa ya mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA.

Nimefurahi kuwa Mwanasheria wa Act Wazalendo ndg. Albert Msando ni mmoja wa jopo la wanasheria wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA ndg. Freeman Aikaeli Mbowe.

Mfumo wa Vyama vingi nchini upo hatarini, ni LAZIMA wana mageuzi wote kuweka tofauti pembeni na kupambana kulinda Demokrasia yetu.

Tukiendekeza tofauti zetu ambazo nyengine ni za kijinga jinga tu, tutakuja shtuka hata hicho kinachotupa tofauti ( vyama ) hakipo.
 
Naona kama issue ya kumkamata Mbowe ilikuwa asifike mahakamani na kuendeleza zile zama za kuswekana sero kijima.

Hata hivyo kulionekena baadhi ya taarifa kuhusu kikao cha EL na waandishi wa habari, lengo likiwa kuwahadaa wasitake kujua yanayojiri mahakamani.
 
Eti tofauti za kijinga! Hili jamaa nalo kwa kutafuta kiki! Yaani amesahau kabisa kwamba watu walikuwa wanamuwinda na sumu mfukoni! Zitto anazeeka vibaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…