Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,306
ngoja nione MOTOCHINI atachagua upande gani hapa maana tumbo lake liko CCM, makalio yako ACT.
ngoja nione MOTOCHINI atachagua upande gani hapa maana tumbo lake liko CCM, makalio yako ACT.
napendekeza,wamsekwe ndani ata dk moja au wampige ngwara tatu mbili!ili italeta paradigm shift katika siasa za tanzania kwani siasa atakuwa amebatizwa na kuzaliwa upya kama mpinzani halisi,na kuifuta ile harufu ya usaliti na kujipendekeza kwa system!KUNA WATU WENGI WANAMMISI KIKWETE AISEE...Hatua Nzuri, inawezekana hii ndio evolution inatokea katika kuitenganisha ACT- Wazalendo na CHAMA CHA MAPINDUZI.
Ndio kwani kuna tofauti kati ya upinzani na ccm kwa sasa?Nilisema na narudia tena. Idara ya uenezi na uhanasishaji ya vyama vya upinzani iko serikalini na ccm.
Wanafanya kazi hiyo vizuri sana na kwa bidii ku promote upinzani kwa gharama zao wenyewe bila kujua.
Sasa hivi ambaye hakusikia ile hotuba ya Zitto au kauli yake juu ya misaada ya Marekani anatafuta ajue alisema nini.
Na akisikia anauona ukweli na Zitto pamoja na upinzani chati inapanda huku babajesca na ccm chati ikishuka.
Tuungane kuukata utawala wa kidikteta unaotupora uhuru na haki zetuMbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe awasili Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kuhojiwa.
=Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amewasili katika kituo kikuu cha kati cha Polisi jijini Dar,tayari ameshakutana na ZCO Camilius Wambura akiwa na RCO wa Temeke pamoja na Naibu ZCO Kwa mahojiano.
=Ameambatana na Wanasheria wake
=Ameitwa polisi kuhojiwa kuhusu hotuba aliyoitoa Mbagala katika Mkutano wa 'Linda Demokrasia' Uliofanywa na Chama cha ACT Wazalendo.
Taarifa zaidi kukujia.
Atapelekwa mahakamani kwa uchochezi
Mkuu siyo yeye tu wako wengi kuna wengine wale waliojifanya wanataka mabadiliko ya kwao wao kwenye swala la jeska walikimbia wao ni kusifia tu awana jinginengoja nione MOTOCHINI atachagua upande gani hapa maana tumbo lake liko CCM, makalio yako ACT.
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe awasili Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kuhojiwa.
=Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amewasili katika kituo kikuu cha kati cha Polisi jijini Dar,tayari ameshakutana na ZCO Camilius Wambura akiwa na RCO wa Temeke pamoja na Naibu ZCO Kwa mahojiano.
=Ameambatana na Wanasheria wake
=Ameitwa polisi kuhojiwa kuhusu hotuba aliyoitoa Mbagala katika Mkutano wa 'Linda Demokrasia' Uliofanywa na Chama cha ACT Wazalendo.
Taarifa zaidi kukujia.
Wewe mburula mtu akiwa against maono yenu tu basi ni mhaini...kijana alikuwa safi sana baada ya uchaguzi ila sijui kitu gani kinamsibu, maana ZZK amekuwa mlopokaji kweli kweli akidhani anavuna wanachama kumbe anaua chama, acha chama chake kife, labda atarudi CCM
Unaota wewe?! Uzi huu ni kuhusu Zitto kuhojiwa na polisi, wewe unatuuliza kuhusu Maembe; maembe si uende gengeni ukanunue ebho!nani anajua kilichomkamatisha Vital MAembe?
kosa nn?
katoka au bado yuko lupango?
mjinga utamjua tu....hajui anachojua....zitto zito zitto zito....nenda tanga kuna mabusha mazito tu....utayapataUnaota wewe?! Uzi huu ni kuhusu Zitto kuhojiwa na polisi, wewe unatuuliza kuhusu Maembe; maembe si uende gengeni ukanunue ebho!
uungane na nani?tuliungana na nyie kwenye ufisadi nyie mkatuacha kwenye mataa kwa kumchukua fisadi mwenyewe tulie kuwa tunampiga vita,leo mnataka tuungane kwa lipi jipya mtakalo tuambia??kwani ni mara ya kwanza wapinzani kufikishwa polisi,kwani ni mara ya kwanza wapinzani kupigwa marufuku mikutano??Tuungane kuukata utawala wa kidikteta unaotupora uhuru na haki zetu