heavyload
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 918
- 525
Viwanda sio kipaombele awamu hii. May be the coming regime acha tusafishe nchi wewe kijanaMnaotarajia kuona viwanda nchii hii nawapa pole.
Viwanda sio kipaombele awamu hii. May be the coming regime acha tusafishe nchi wewe kijanaMnaotarajia kuona viwanda nchii hii nawapa pole.
Wanamtafuta wapi kwani wanashindwa kumkamata au hizi ndo zile mara mbindingu ZITO hayupo ShinyangaHata siku moja hawajawah kumsaka wakamkamata.
Otherwise aende mwenyewe.
Mkuu, elewa tu kwa bongo ni kawaida kumiliki gari na documents zake ila vikawa fake. Mfano, ushawahi kujiuliza zile gari zinazokatwa katwa kadi za hayo magari yanayokatwa zinapelekwa wapi?Unawezaje kimiliki halafu documents zisiwe halali ? Tutumie mantiki na sio kutumia akili za kipolisi kuweka post JF
Nini maana ya kumiliki gari ? Basi wangesema anamiliki gari ya wizi. Fake documents ndio mashokolo gani. Nimewahi kukamatwa kwa mbwembwe kuwa nina road licence fake nilipotezewa masaa 3 Mimi nikiwa nashangaa wao wakijiona wako kikazi zaidi. Wanaonyeshwa taarifa kwenye simu hawataki kuikubali. Hata nilipotumia simu ya mmoja wao bado walikuwa wanakataa. Ilitulazimu kwenda TRA lakinj aibu iliwapata pale ambapo hata kabla ya kufika TRA mmoja wao akawauliza wale madalali wakatumia simu na kusema hiyo ni halali. Bado tulirudi kituoni na issue mpya kuwa nimewaonesha dharau tangu awali. Mkuu wa kituo alipohoji nikampa maelezo namna ambavyo kufanya kazi kwao kama robot kulivyonipotezea muda. NikaachwaMkuu, elewa tu kwa bongo ni kawaida kumiliki gari na documents zake ila vikawa fake. Mfano, ushawahi kujiuliza zile gari zinazokatwa katwa kadi za hayo magari yanayokatwa zinapelekwa wapi?
Ulishawahi kusikia biashara ya kadi za magari? Ushasikia watu wanaulizia au wanataka kununua kadi ya gari fulani?
Kesi kama hizo ni mbaya, tusubirie.....
Zitto sio nyumbu anaelewa kabisa UKAWA hawana nia ya kuwakomboa watanzaniaZito anahitaji kurudi ukawa aachane na siasa za ubabaishaji.
Mamluki wa nyinyiem.Mamluki wepi hao?
ZITTO KABWE ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA UCHOCHEZI.
Tumejulishwa na polisi kwamba Kiongozi wa Chama ana mashtaka ya kutoa lugha ya uchochezi katika hotuba zake za kampeni katika kata ya Isagehe Jimbo la Kahama Mjini.
Polisi wanasema Zitto Kabwe amemchonganisha Rais na wananchi kwa kusema kuwa "Rais anakula bure na kulala bure ndio maana hajali hali ngumu ya maisha ya wananchi wakati huu wa balaa la njaa"
~Mtemelwa