Zitto hajawahi kuwa mkweli, hizi ni baadhi ya kauli zake tata

Kama kuna jambo gumu kuamini basi ni kuamini kauli za Zitto Kabwe, fuatilia mifano ya kauli zake tata kuanzia mwaka 2014 hadi sasa;

"Nitakuwa mtu wa mwisho kuondoka Chadema'' (2014)

"Serengeti boys wamewatoa Congo''...nini kilitokea???

''Vyanzo vyangu vya uhakika ni kuwa mgombea wa urahisi Zambia ''HH" kashinda uchaguzi dhidi ya Raisi Lungu''...nini kilitokea.

''Nimejiondoa kwenye kamati ya bunge ya huduma za jamii sababu wabunge wamepokea hongo''...kumbe alichukia kutopangiwa kamati ya fedha.

''Mapato ya serikali ya mwezi Novemba na Desemba 2016 yameshuka sana' ndio maana TRA hawatangazi''...sijui amejisikiaje jana!

''Nitaacha ubunge kama serikali ina akiba ya chakula tani milioni 1.5'' ni muendelezo tu wa kutaka media zimuandike kama ''mtetezi'' huku akiwatelekeza wana Kigoma aliowaahidi kuhakikisha kila mwananchi atakuwa na bima ya afya na 'skimu ya pensheni''....

Kuna mengi wengine mnaweza kuongeza.
Mkuu naomba kujua umeishia darasa la ngapi...
 
Mleta uzi utakuwa umetumwa si bure ! Kwaiyo kauli Zitto yakuwa nitakuwa....mtu wa Mwisho kuondoka chadema unadhani alimaanisha in terms of number? Daaah
 
Yule aliyesama Qaddafi alikuwa rais wa Iraq ndio mkweli
Je yule aliyesema akichaguliwa hakuna mwanafunzi atakayekosa mikopo ndio mkweli
Yule anaye jinasibu kuwatetea wanyonge kwa kusababisha vitu vya msingi kama sembe,sukari,mafuta ya kupikia na hata pango kuwa vitu vya anasa ndo mkweli sio?
 
Kama kuna jambo gumu kuamini basi ni kuamini kauli za Zitto Kabwe, fuatilia mifano ya kauli zake tata kuanzia mwaka 2014 hadi sasa;

"Nitakuwa mtu wa mwisho kuondoka Chadema'' (2014)

"Serengeti boys wamewatoa Congo''...nini kilitokea???

''Vyanzo vyangu vya uhakika ni kuwa mgombea wa urahisi Zambia ''HH" kashinda uchaguzi dhidi ya Raisi Lungu''...nini kilitokea.

''Nimejiondoa kwenye kamati ya bunge ya huduma za jamii sababu wabunge wamepokea hongo''...kumbe alichukia kutopangiwa kamati ya fedha.

''Mapato ya serikali ya mwezi Novemba na Desemba 2016 yameshuka sana' ndio maana TRA hawatangazi''...sijui amejisikiaje jana!

''Nitaacha ubunge kama serikali ina akiba ya chakula tani milioni 1.5'' ni muendelezo tu wa kutaka media zimuandike kama ''mtetezi'' huku akiwatelekeza wana Kigoma aliowaahidi kuhakikisha kila mwananchi atakuwa na bima ya afya na 'skimu ya pensheni''....

Kuna mengi wengine mnaweza kuongeza.
Kasema jimbo la ujj/Kigoma lipo rehani iwapo serkali itaonyesha hizo tani za mahindi.Mbona tunachanganya mambo.Hayo mahindi yaonekane tumupore ubunge na kifungo juu kwa kupotosha watanzania .Tufanye hili kwanza ili ashikishwe adabu uongo wake ulopita hajawahi weka dhamana yoyote .
 
Kama kuna jambo gumu kuamini basi ni kuamini kauli za Zitto Kabwe, fuatilia mifano ya kauli zake tata kuanzia mwaka 2014 hadi sasa;

"Nitakuwa mtu wa mwisho kuondoka Chadema'' (2014)

"Serengeti boys wamewatoa Congo''...nini kilitokea???

''Vyanzo vyangu vya uhakika ni kuwa mgombea wa urahisi Zambia ''HH" kashinda uchaguzi dhidi ya Raisi Lungu''...nini kilitokea.

''Nimejiondoa kwenye kamati ya bunge ya huduma za jamii sababu wabunge wamepokea hongo''...kumbe alichukia kutopangiwa kamati ya fedha.

''Mapato ya serikali ya mwezi Novemba na Desemba 2016 yameshuka sana' ndio maana TRA hawatangazi''...sijui amejisikiaje jana!

''Nitaacha ubunge kama serikali ina akiba ya chakula tani milioni 1.5'' ni muendelezo tu wa kutaka media zimuandike kama ''mtetezi'' huku akiwatelekeza wana Kigoma aliowaahidi kuhakikisha kila mwananchi atakuwa na bima ya afya na 'skimu ya pensheni''....

Kuna mengi wengine mnaweza kuongeza.
Umesahau ile ya mafuta ya ndege
 
ewe mbunge wa viti maalumu, nyie CCM hichi ulichoandika hapa ndiyo ushahidi kuwa kuna chakula cha kutosha??

Je kama Tanzania hamna baa la njaa hizo tani za chakula mlizosema mnaanza kuzigawa mnagawa kwasababu gani hasa??
 
Kama kuna jambo gumu kuamini basi ni kuamini kauli za Zitto Kabwe, fuatilia mifano ya kauli zake tata kuanzia mwaka 2014 hadi sasa;

"Nitakuwa mtu wa mwisho kuondoka Chadema'' (2014)

"Serengeti boys wamewatoa Congo''...nini kilitokea???

''Vyanzo vyangu vya uhakika ni kuwa mgombea wa urahisi Zambia ''HH" kashinda uchaguzi dhidi ya Raisi Lungu''...nini kilitokea.

''Nimejiondoa kwenye kamati ya bunge ya huduma za jamii sababu wabunge wamepokea hongo''...kumbe alichukia kutopangiwa kamati ya fedha.

''Mapato ya serikali ya mwezi Novemba na Desemba 2016 yameshuka sana' ndio maana TRA hawatangazi''...sijui amejisikiaje jana!

''Nitaacha ubunge kama serikali ina akiba ya chakula tani milioni 1.5'' ni muendelezo tu wa kutaka media zimuandike kama ''mtetezi'' huku akiwatelekeza wana Kigoma aliowaahidi kuhakikisha kila mwananchi atakuwa na bima ya afya na 'skimu ya pensheni''....

Kuna mengi wengine mnaweza kuongeza.
Tuwie radhi sana ndugu,kwa sasa mjadala ulio mbele yetu ni NJAA na binamu yake UKAME.
Tukirudi nyuma tutaangalia hata ile kauli ya msema kweli dhidi ya watu wa Kigamboni eti "asiekuwa na nauli apige mbizi".Tusifukue makaburi
 
t
Kama kuna jambo gumu kuamini basi ni kuamini kauli za Zitto Kabwe, fuatilia mifano ya kauli zake tata kuanzia mwaka 2014 hadi sasa;

"Nitakuwa mtu wa mwisho kuondoka Chadema'' (2014)

"Serengeti boys wamewatoa Congo''...nini kilitokea???

''Vyanzo vyangu vya uhakika ni kuwa mgombea wa urahisi Zambia ''HH" kashinda uchaguzi dhidi ya Raisi Lungu''...nini kilitokea.

''Nimejiondoa kwenye kamati ya bunge ya huduma za jamii sababu wabunge wamepokea hongo''...kumbe alichukia kutopangiwa kamati ya fedha.

''Mapato ya serikali ya mwezi Novemba na Desemba 2016 yameshuka sana' ndio maana TRA hawatangazi''...sijui amejisikiaje jana!

''Nitaacha ubunge kama serikali ina akiba ya chakula tani milioni 1.5'' ni muendelezo tu wa kutaka media zimuandike kama ''mtetezi'' huku akiwatelekeza wana Kigoma aliowaahidi kuhakikisha kila mwananchi atakuwa na bima ya afya na 'skimu ya pensheni''....

Kuna mengi wengine mnaweza kuongeza.
Tuache ya zamani, Issue ya tani 1.5 HEWA ndio hot usituchanganye
 
Tutagawa mil 50 kila kijiji naye huyo ni zito?? Mleta mada nenda unye ulale
 
Tunampenda zitto kwa sababa ki gegeu ,ndo tunacho mpendea,halafu kwani kaanza yeye huo ukigeugeu..

Umemsahau Hamfrei haraka haraka alivyo kuwa akikesha kwenye majukwaa kwenye media akiiponda serikali ya CCM leo anafafya nini?
Umeshau kuwa magufuli akiiwaambia watu serikali haina shamba na haitogawa chakula,zimepita cku 2 tu kageuka sasa anagawa tani 1.5 million (kama zpo) za nafaka
Umesahau majaaliwa alivyo likomalia suala la Faru john mbona leo kaeuga ypo kmyaaa hasemi tena au kampata faru john?
And the list continue........................
sasa sisi tunampenda zitto na tunamuomba azidi kuwa KIGEUGEU .mwanaume wa kweli hutakiwi kutabirika hata kwa mkeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom