Zitto ajiingiza kwenye uchaguzi wa TLS, awataka wajumbe wamchague Masha badala ya Lissu

Sasa mmejua kwa nini Zitto alitimuliwa Chadema
Hapo tayari ameshanunuliwa ili tu ampinge Lissu. Hajui anajidhalilisha
 
Kwa kiwango cha elimu ya kawaida tu unajua Lissu ndiye Rais wa TLS na masha alikuwepo pale kunogesha tu ili wapambe wajisogeze karibu then ajitoe mwishoni
 
Back
Top Bottom