Zijue dalili za mtu aliyeoa au kuolewa na jini bila kujua

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
4,177
7,301
Majini wakiwa kama viumbe hai nao hutamani kuwa na mke au Mume wa kibinadamu

Hali hii hupelekea kutafuta ampendaye katika wanadamu na kufunga nae ndoa hata bila binadamu huyo kupenda.

Na hizi ni dalili za aliyeoa au kuolewa na jini

1. Hapendi kabisa kuwa karibu na wanaume/wanawake hususan kama haja oa, kwa kuwa tayari ana mume/mke wa kiroho

2. Akichumbiwa/akichumbia lazima aharibu uchumba
mwenyewe , lazima atabadilisha mawazo na kusema simtaki mwaume/mwanamke huyo tena, yule jini ndiye anamletea mawazo ya kukataa mwenyewe. Huyu ni JINI TWAYR {qarnail}.

3. Kama akikaribia kuolewa/kuoa lazima atakataa lakini baadaye umri ukienda anajisikia vibaya

4. Kama aking’anga’ana na kuolewa/kuowa hawezi kuifurahia ndoa yake kabisa ataona ndoa kama
ni mateso, vile vile hawezi kumpenda mume/mke wake kabisa ,

mumewe/mkewe akiwa mbali
anammiss akija anajisikia kumchukia kabisa, kumchukia mwenza wako pindi anapo kuwa karibu na wewe. Huyu ni JINI SUBIANI.

5. Kama ameolewa/kuowa hawezi kupata mtoto kwa maana Yule mume/mke anaona wivu kuona
mkewe/mumewe anazaa na mume/mke mwingine, Hata
kama akifanya biashara hawezi kufanikiwa kabisa kwa maana jini yule anammiliki.

6. Kua na hasira sana bila hata sababu za msingi

7. Kuwa na hali ya kutojali au kuthamini wengine umimi na kujiona wa thamani peke yake kuliko wengine.

8. Kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki anakufanya ufanye mambo yakuchukiza wengine

9. Kujiona mtu mwenye mikosi nuksi na balaa tupu

10. Kuvurugika kwa mipango/ mambo yako/ hasa ya maendeleo na kila unachopanga hushindikana hata kama ukisaidiwa na mwisho hujiona hufai

11. Kuumwa kichwa pindi wakat unasoma Qur'aan au Biblia

12. Kutokujisikia kuomba au kusinzia pindi unapotaka kuanza maombi, huishiwa nguvu
kabisa, Na kuishia kuhangaika kama mtu asiyejua lakufanya. Kwa hiyo inawezekana jini anapoanza kumfuata mtu na kufanya mapenzi naye, mtoto
anaweza kuzaliwa. Nje ni mtu lakini kwa ndani siyo mtu ni shetani na ndio maana unajiona ni
wa ajabu ajabu, kuna wengine usiku unaota
amezaa watoto siyo kwamba umeota ni kweli umezaa watoto wa kijini, na wale wanaporudi ujinini wanakurudia na kukuletea wewe matatizo

View attachment 2364627
 
Kwa wale watu wenye imani ya kuyafuga hayo madude yawezekana kuna inter marriage baina yao na yawezekana as result hapa duniani kuna hybrid ya vizazi kati ya wanadamu na hayo madude ndio maana unakuta kuna watu wana maamuzi magumu dhidi ya binaadamu wenzao
 
Majini wakiwa kama viumbe hai nao hutamani kuwa na mke au Mume wa kibinadamu

Hali hii hupelekea kutafuta ampendaye katika wanadamu na kufunga nae ndoa hata bila binadamu huyo kupenda.

Na hizi ni dalili za aliyeoa au kuolewa na jini

1. Hapendi kabisa kuwa karibu na wanaume/wanawake hususan kama haja oa, kwa kuwa tayari ana mume/mke wa kiroho

2. Akichumbiwa/akichumbia lazima aharibu uchumba
mwenyewe , lazima atabadilisha mawazo na kusema simtaki mwaume/mwanamke huyo tena, yule jini ndiye anamletea mawazo ya kukataa mwenyewe. Huyu ni JINI TWAYR {qarnail}.

3. Kama akikaribia kuolewa/kuoa lazima atakataa lakini baadaye umri ukienda anajisikia vibaya

4. Kama aking’anga’ana na kuolewa/kuowa hawezi kuifurahia ndoa yake kabisa ataona ndoa kama
ni mateso, vile vile hawezi kumpenda mume/mke wake kabisa ,

mumewe/mkewe akiwa mbali
anammiss akija anajisikia kumchukia kabisa, kumchukia mwenza wako pindi anapo kuwa karibu na wewe. Huyu ni JINI SUBIANI.

5. Kama ameolewa/kuowa hawezi kupata mtoto kwa maana Yule mume/mke anaona wivu kuona
mkewe/mumewe anazaa na mume/mke mwingine, Hata
kama akifanya biashara hawezi kufanikiwa kabisa kwa maana jini yule anammiliki.

6. Kua na hasira sana bila hata sababu za msingi

7. Kuwa na hali ya kutojali au kuthamini wengine umimi na kujiona wa thamani peke yake kuliko wengine.

8. Kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki anakufanya ufanye mambo yakuchukiza wengine

9. Kujiona mtu mwenye mikosi nuksi na balaa tupu

10. Kuvurugika kwa mipango/ mambo yako/ hasa ya maendeleo na kila unachopanga hushindikana hata kama ukisaidiwa na mwisho hujiona hufai

11. Kuumwa kichwa pindi wakat unasoma Qur'aan au Biblia

12. Kutokujisikia kuomba au kusinzia pindi unapotaka kuanza maombi, huishiwa nguvu
kabisa, Na kuishia kuhangaika kama mtu asiyejua lakufanya. Kwa hiyo inawezekana jini anapoanza kumfuata mtu na kufanya mapenzi naye, mtoto
anaweza kuzaliwa. Nje ni mtu lakini kwa ndani siyo mtu ni shetani na ndio maana unajiona ni
wa ajabu ajabu, kuna wengine usiku unaota
amezaa watoto siyo kwamba umeota ni kweli umezaa watoto wa kijini, na wale wanaporudi ujinini wanakurudia na kukuletea wewe matatizo

View attachment 2364627
Sawa M.M. Ezekiel
 
Kama waarabu wasingeamua kuja Afrika, basi hizi story za majini tusingezijua.

Kama wahindi nao wangefanya kama waarabu, inawezekana tungekua na story nyingine kadiri ya dini zao
 
Kuna watu wameshakutana na Malaika kwenye Biblia(pia hata kwenye maisha ya kawaida tunayoishi) BIla wao kujua ni Malaika mpaka pale wale Malaika walipoondoka.
Mfano Yakobo alipigana na Malaika ambaye kabla hakujua kama yule alikuwa ni Malaika mpaka mwishoni anavyomuacha.

Jini ni Malaika walioasi na kutupwa kwenye nchi.Nao pia wanaweza kujibadilisha kuwa binadamu wa kawaida na mtu asiyeamini au kujua mambo hayo HaweZi kutambua hayo mambo.Wanaoa na kuolewa Kwa lengo la kumharibu aliopo kwenye ndoa na yeye na kuhakikisha akifa anaishia kuzimu na watoto watakaowazaa sio watoto WA kawaida ni majini tu.

Ndiyo maana tunaambiwa tumtangulize Muumba katika Kila kitu tunachotaka kufanya hasa mtu anapotaka kuoa Kwa Sababu Mwenyezi Muumba anajua Kila kitu hakuna jambo lililojificha machoni pake anajua yupi ni SAHIHI kwako na yupi si sahihi.Tunafeli pakubwa tunaposhindwa kumshirikisha Muumba katika hatua muhimu kama kufunga ndoa.Mwisho wa siku ndoa zinaishia kuwa karaha Kwa sababu hujui unayemuoa au unayeolewa naye ni nani.

Anaweza akawa amezaliwa na kukua katika familia Fulani lakini huyo sio mtu Bali ni jini.Na ukitafuta historia yake utakuta amesoma Shule Fulani na amefanya yote ambayo wanadamu wanafanya lakini hujui Siri iliyopo nyuma yake.
 
Back
Top Bottom