Zawadi gani yenye maana kihisia ya kumpa mpenzi wako kwenye Valentine Day?

Mpe zawadi ya
:password yako ya Facebook, Insta, na Jamii Forums plus simu yako,, ajaribu kupitia conversation zako hata kwa masaa mawili,, Hisia atakazopata sio za Dunia hii,, NASA wanaziitia Hisia za Anga ya mbali.
Suicidal......
 
Mm sionagi maana sana kwakuwa upendo ni kila siku. Ninyi wenye upenddo wa yar 14 feb ndio mtafute zawadi za kuwapa ila kwawalio na upendo wa kudumu hawataona tofauti yeyote
 
Duh , zawadi muafaka na kubwa kuliko ni kuanda presentation ile ya ppt yaani power point kisha ukamfungulia text zake za siri alivyokuwa akichepuka au akiduscus ishu yeyote ile.. hisia atakayo ipata hicho kivasi chenye rangi ya oryx kitakuwa cheusi
 
Kama wa kike toa papuchi

Mwanaume any gift..saa, mkoba, bracelets, g- strings, perfumes,simu, boxer, gar, nyumba, kiwanja, ndege, uongozi kama ukuu wa mkoa (watu kama kina maa guu), na vingine mkuu
uongozi!? Unataka tuoate madeleva wengi mkuu?
 
Duh , zawadi muafaka na kubwa kuliko ni kuanda presentation ile ya ppt yaani power point kisha ukamfungulia text zake za siri alivyokuwa akichepuka au akiduscus ishu yeyote ile.. hisia atakayo ipata hicho kivasi chenye rangi ya oryx kitakuwa cheusi
Mmmhh!
 
Jamani kama mnavyotambua kesho ni siku nyingine ya wapendanao tarehe 14 February 2017. Ni siku ambayo watu wanashow love kwa wapendwa na wapenzi wao.

Sasa hoja yangu naomba tujadili zawadi yenye uzito na thamani kihisia ya mtu anayoweza kumpa mpenzi wake (demu, mke, mchepuko, mume, au sponsor wake). Tuangalie zawadi isiwe ya gharama sana ila yenye hisia kali na kuonesha ubunifu wa khali ya juu.

Karibuni sana. Binafsi nawapenda sana all JF members regardless our differences in giving our opinions on social issues.
Mpe dushe
 
Back
Top Bottom