Wakati wanapokea pesa zake ailikua Mtanzania, wakamptisha kuwa mgombea wao alikua mtanzania lakini ghafla leo sio Mtanzania, maajabu hayaNimeshangaa wanasema sio raia wa Tanzania
Inasemekana (tetesi) anamiliki passport ya nchi nyingine. Na huenda alikuwa ameificha nyumbani na walipopekuwa wakaikuta. Sheria za Tanzania zinasema huwezi kuwa na uraia wa nchi mbili na unapokuwa na uraia wa nchi nyingine basi ule wa Tanzania automatically unakuwa umefutika. Tuseme kwa mfano ni kweli anamiliki passport ya nchi nyingine na alikuwa anaficha, sidhani kama kuna namna serikali ingeweza kujua!Nimeshangaa wanasema sio raia wa Tanzania
Wakati mghushi vyeti Bashite bado anatingisha wowowo tu kitaaniUnakamatwa kwa sababu ya kesi ya Ng'ombe inafugwa kwa kesi ya kuku..