Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,294
- 18,027
Issue ya budget si suala lake kama unavyosema. Ni suala la halmashauri ya wilaya husika. Hao wengine kwa taarifa ulizonazo wamefanya nini?Mara kapeleka mahema mara madawati mara chakula , kapeleka nini na kwa bajeti ya manispaa ipi ? Kuwa kwako shabiki wa yanga hakuhusiani na udiwani wa manji .
Please hapa usiingize ushabiki wa mpira. Kweli ni mwanachama wa Yanga. Hiyo kata ina mashabiki na wanachama wa timu zote. Both Yanga na Simba zina watu wa vyama vyote.
Wewe kama ni shabiki wa matopeni usilete uongo kwa kuwa Manji ni kiongozi wa Yanga.