Yule mke wa kachero wa TANAPA...

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Sep 8, 2014
3,344
2,534
Wana Jf.

heri ya xmass...

Naomba kujua yule mke wa Mkuu wa upelelezi TANAPA ni wa wapi?

Tangu tukio lile na tangu RPC wa Arusha azungumzie tukio lile kwa kumhusisha yule mke wa marehemu na ukizingatia ushahidi wa mazingira uliopatikana ikiwemo taulo yenye damu, panga likiwa na damu, na nguo mbalimbali walizokuwa wanafutia damu sebuleni na kuzifukia chini ya ardhi na ukizingatia yule house boy alikiri kuhusika kumuua marehemu kwa dau la sh. milioni 5 nimepata shauku ya kujua yule mama ni MTU wa wapi? hadi kupata huo ujasiri wa kumuua mume wake?

Na kibaya zaidi eti akawahi kituo cha. polisi kutoa taarifa za kupotea mume wake na kwamba hajui alipo...! kumbe kashiriki kumuua mume wake na kumwingiza kwenye buti ya gari la marehemu na kwenda kumtelekeza porini...!!

House boy anasema alimchinja bosi wake wakati akiwa sebuleni akinywa uji ndipo alipomcharanga kwa mapanga hadi kufa, sasa huyu mama wakati huo alikuwa hayupo eneo hilo au alijificha hadi tukio lilipomalizika? maana tunaambiwa wanawake wana huruma sana sasa huyo mama hakuona huruma kushuhudia au kushiriki kumuua mumewe? ikizingatiwa kwamba mumewe kumbe alikuwa mgonjwa na alikuwa anajiandaa kwenda INDIA kwa matibabu?

Tuweni na huruma jamani, enyi wanawake na hata wanaume wenzangu.
 
Umeandika kama una uhakika sana muuaji ni mke wa marehemu ili hali upelelezi unasema baada ya uchunguzi wa kina kijana wa kazi amekiri kuhusika na mauaji hayo....Wacha tuone kijana atasema ni nani alimpa kazi hiyo...Utata ni mkubwa na ninabanwa na sheria ya makosa ya mtandaoni ningeweza sema jambo..
 

huo sasa usengerema?
 
huyu mama alishindwa hata kumuwekea sumu kwenye huo uji... mpaka kutumia panga kweli alikua kishamchoka!!!

hizi ndoa ukifikiria sana unaweza usioe..
 

hata hisia huna? mke yawezekana anahusika hapa, ingekuwa ahusiki, house boy asingemuulia nyumbani kwa marehemu...(tumia akili kufikiri vizuri).. hili ni deal lilipangwa kwa ustadi lakini utekelezaji wake ndo ulikosewa...

Tukio la kumuua MTU kwa panga tena nyumbani kwake siyo mpango wa siku moja la hasha...Mimi ni mtaalamu wa uchunguzi na pia mwanasheria hili ni tukio la muda mrefu lakini lilikuwa linasubiriwa muda ufike rasmi ndipo litekelezwe, house boy hawezi kufanya kitendo hicho bila MTU yeyote nyumbani kuwa na taarifa, labda kama aliagizwa na watu wa nje wamuulie nyumbani ili baadae wamsingizie mke wake kuwa ndiye aliyemtuma, lakini napo kuna maswali mengi sana, ikiwemo, ni wapi house boy aliweza kupata taulo ya marehemu au nguo zake za kufutia damu?

marehemu alikuwa anakunywa uji sebuleni, nani aliyemtengea huo uji? kama ni mke wake it means alikuwa eneo LA tukio muda huo house boy anafanya yake.

nani aliyetoa vyombo mezani? uliona mini hapo sebuleni? ulimkuta marehemu? uliuliza yupo wapi?
 
Una habari kuwa marehemu alikuwa aishi na mke wake hapo nyumbani? Kwenye red wacha sifa za kijinga unahisi ni wewe mwenyewe mwanasheria.
 
Una habari kuwa marehemu alikuwa aishi na mke wake hapo nyumbani? Kwenye red wacha sifa za kijinga unahisi ni wewe mwenyewe mwanasheria.

Mkuu umenena,upelelezi wa kesi bado unaendelea.Tutakuwa tunafanya kosa tukiendelea kujadili kwa mazingira ya kumtia hatiani mke wa marehemu.Kuwa mwanasheria haimaanishi kuwa uko perfect(mkuu Ambamba)
 
huyu mama alishindwa hata kumuwekea sumu kwenye huo uji... mpaka kutumia panga kweli alikua kishamchoka!!!

hizi ndoa ukifikiria sana unaweza usioe..

Junior ni wewe kweli au??????????????????????? unanichekesha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ya unampa njia mbadala ya kumuangamiza mumew????????????????????
 

SAMAHANI LAKINI, KWA MAELEZO AYO NI TOSHA KABISA KUWA IYO NI TABIA YA..................
..................... WAMACHAME .........................
NAMALIZIA SAMAHANI lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…