Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,742
- 40,872
Mwaka juzi 2019.Mwaka jana mlisema kakimbizwa German ghafla, iliishia wapi ile story?
Kesho wakizusha Tena napo ikanushwe, kesho kutwa hivyohivyo. Sasa si watakuwa na kazi ya kuzusha tu. Nyie watu ni wajinga sanaMzee Mwanakijiji ana hoja ya Msingi Sana.
Kama Rais anaumwa ikitangazwa itakuwa ni bora kwa kuwa hao "wajinga" wanao wajinga wenzao wanaowaamini.
Kuacha uzushi kuhusu Afya ya kiongozi Mkuu wa nchi kuenezwa, si jambo jema hata kidogo!!
Mkorogo wa Bupeji umedunda mkuuYaani inaudhi..tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa..sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini...
Kama Anaumwa vya kutisha mnasema...Kama ni uzushi. Mnasema..na hata kumwonyesha Kama alivyofanyiwa Dr. Mpango ..
Pengine ni vita ya kiuchumi, Watanzania tuwe macho...Anaumwaje mkuu? Kwani lile li convoy jammer na mitutu ile imeshindwa kuzuia mashambulizi?