mkalusanga
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 355
- 441
Rafiki yangu mpenzi ni mamangu na mtoto wangu zaidi ya hapo ni uongo...
Uwiiii God forbideDaaa mm nilimwacha wangu mkoani arusha c yy aliniacha ,eti nilimwacha kisa tu nimekuja daaaa now kawa mkalii kuliko hata alivyokuwa mwanzo na ana MTU wake ila nikiendaga arusha ananopaga mzigo kama kawaidaa etiiii
Duh! We noma.Nilimroga .. sasa hivi ni msukule anaishi kwenye mti na ninavomchukia kila siku namchapa bakora 24 hasira zikiisha namtupa jangwani manina zake
Usikate tamaaa Na pole sana kwa kukutana Na rafiki muongoRafiki yangu mpenzi ni mamangu na mtoto wangu zaidi ya hapo ni uongo...
Kweli?Ukiona haupo nae ujue haikupangwa...
Alikufanya nini hata kumpa adhabu yote hiyo? Mpe adhabu lkn nawe ghadhabu ya mungu yakungojaNilimroga .. sasa hivi ni msukule anaishi kwenye mti na ninavomchukia kila siku namchapa bakora 24 hasira zikiisha namtupa jangwani manina zake
Hahaha...Alikufanya nini hata kumpa adhabu yote hiyo? Mpe adhabu lkn nawe ghadhabu ya mungu yakungoja
Pole kwa kupachikiwa mimba mpendwa wakoHonest alipigwa mimba akiwa kidato cha pili na mimi nikiwa chuo mwaka wa kwanza, nadhani uvumilivu ulimshinda akaamua kufanya vile. Yupo anaishi kivyake japo aliomba mara nyingi sana turudiane nami nilikataa.
Ha ha ha pole mkuu kwa kuongopewa lkn amini kuwa mpenzi wako uliyrmpenda yupo Na rafiki yakoAisee yaan mm alichukuliwa na rafiki yangu niliyekuwa namwamini kupita kiasi na wakafunga ndoa yaan mpaka leo huwa siamini kama ni kweli yalinitokea mimi, ila namshukuru mungu alinipa mwingine lakini ndo hivo mpaka leo kila anayejifanya kuwa rafiki mwema namuona kama kuna kitu anataka
Umefurahi?Hahaha...
Yaan acha tu dunia ina vimbwanga hii ni balaaHa ha ha pole mkuu kwa kuongopewa lkn amini kuwa mpenzi wako uliyrmpenda yupo Na rafiki yako
Pole, Mungu akutie nguvu umsamehe Na kumsahau, kwa sababu umeumbwa kwa udongo una dam Na nyama haya hayabudi kutukia, poleYaan acha tu dunia ina vimbwanga hii ni balaa